Aisee ulijuaje?Enzi hizo uko darasa LA pili[emoji1] [emoji1]
Ile mzee wa busara ilininyoosha, nilikoma kuzurura usiku, hahaa utoto kazi sana,Nyakati zinakwenda Mkuu,Dunia inabadirika shehke wangu aisee.
Filamu zilikuwa ni vitisho mwanzo mwisho pia zilikuwa zinaonesha uhalisia wa Afrika(watu weusi) ila z ilikuwa na mafunzo mazuri.
-Zogo (kisiwa cha mauti)
-Uwa chidama dama
-kihongwe.
-Mzee wa Busara.
-noti
-Jinamizi.
-Mzimu wa mlilo.
Aisee nilipata kuangalia Filamu nyingi za kutisha(ulozi).
Sema ata kama ana kipaji hilo la juu c gauni au macho yangu.Mrisho Mpoto ni Mgoni wa Songea
Kweli?Anapenda totoz hatari