STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Aisee ulijuaje?Enzi hizo uko darasa LA pili[emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ulijuaje?Enzi hizo uko darasa LA pili[emoji1] [emoji1]
Ile mzee wa busara ilininyoosha, nilikoma kuzurura usiku, hahaa utoto kazi sana,Nyakati zinakwenda Mkuu,Dunia inabadirika shehke wangu aisee.
Filamu zilikuwa ni vitisho mwanzo mwisho pia zilikuwa zinaonesha uhalisia wa Afrika(watu weusi) ila z ilikuwa na mafunzo mazuri.
-Zogo (kisiwa cha mauti)
-Uwa chidama dama
-kihongwe.
-Mzee wa Busara.
-noti
-Jinamizi.
-Mzimu wa mlilo.
Aisee nilipata kuangalia Filamu nyingi za kutisha(ulozi).
Sema ata kama ana kipaji hilo la juu c gauni au macho yangu.Mrisho Mpoto ni Mgoni wa Songea![]()
![]()
![]()
Kweli?Anapenda totoz hatari