Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE?
Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiasi cha Nyerere kuagiza wapi Mzee Mshume akazikwe?