Historia ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE?

Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiasi cha Nyerere kuagiza wapi Mzee Mshume akazikwe?

 
Mkuu ndo umetuuliza ama tuendelee kusubiri?
 
Mkuu ndo umetuuliza ama tuendelee kusubiri?
Kidonto,
Nilichofanya mimi ni kueleza kuwa wadau wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika wanataka kujua Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Mwalimu Nyerere?

Wadau hawa wamekuja kwangu kutaka kuijua historia ya Mzee Mshume.

 
Mzee mshume ni wa kutoka wapi?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…