Historia ya Mtaa wa Aggrey uliopo Jijini Dar es Salaam

Jamii Forums, ni moto wa kuotea mbali, kwa kuelimisha ! (ukiachia mbali wachache,Wanaotumia lugha za aibu). GINGERA SANA.
 
Hakika...."You will never walk alone"
 
Hata ku copy Na ku paste ni akili pia, punguza chuki, dharau, kashfa Na kebehi, havikusaidii chochote wala havikunufaishi Na chochote. Jifunze upendo hata kama hujawahi kupendwa
Ni katika kuongeza tu bashasha sikua na nia mbaya nisamee
 
Waliaminishwa majina yako-Afrika ni ya kixhenzi. Unakumbuka Okonkwi kwenye Things Fall Apart.
 
Ubarikiwe Bujibuji, ninajiuliza Ghana walianza kupata elimu ya magharibi siku nyingi. Kwame Mkurumah alipata admission ya PhD London school of economics mwaka 1945.
 
Yawezekana alikuwa nalo, ila alibatizwa ili apate kusoma, nahisi hivyo, maana siunajua elimu ya mkoloni sharti kama kwa mganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…