Historia ya Mtaa wa Aggrey uliopo Jijini Dar es Salaam

As
Asante kwa historia hii. Hakika pamoja na elimu yake mtu huyu alitembea na nguvu kubwa ya Mungu.
 
Thank you for this beutiful article about Dr.James Emmanuel Aggrey

But poor Tanzanian I ain't never heard neither streets nor roads named after the late OSCAR KAMBONA.
 
Naufahamu sana huo mtaa wa Aggrey, lakini sikuwa namfahamu Aggrey mwenyewe. Asante kwa andiko murua...
 
Nimejifunza kwamba anayoyafanya Magufuli kwa wapinzani ndiyo yale yale waliyokuwa wakiyafanya hao wabaguzi wa Dr Aggrey

2020 John Walker out
 
Harakati za mtu mweusi zinaliza kabisa yaani mwanaume unatokwa na machozi ukisoma historia kama hii

Maajabu ni kwamba pamoja na yote haya tuko pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningetamani viongozi waandamizi wa CCM wenye chuki na wapinzani wangeuvaa upinzani kwa muda tu ili wahisi maumivu tunayopata kwa kukandamizwa kwa mkono wa chuma wa vyombo vya dola huku tukinyimwa haki yetu ya kikatiba kufanya siasa katika uwanja ulio hawa. Labda wangetuchukulia sisi ni wadau wa ujenzi wa Taifa letu na siyo maadui na wasaliti kama wanavyotaka kuwawaaminisha Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweliii aliutumia ujana wake vizuri licha ya ubaguzi wa rangi ni mvumilivu na mwenye upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…