Historia ya Mwl. Crian Rwegasira Karoly

Historia ya Mwl. Crian Rwegasira Karoly

Joined
Oct 18, 2019
Posts
5
Reaction score
7
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.

Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.

Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .

Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.

IMG_20200604_100546_3.jpg
IMG_20200528_141002_0.jpg
 
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.
Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .

Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.View attachment 1503031View attachment 1503032

Tumeshaona historia yako fupi (autobiography), sasa kitu gani kinafuata??!!
 
Nilitegemea kuona madigrii makali, kazi za kimataifa, magari makali (Kiduku Lilo style)...

Wahaya nanyi mmeanza lini ushamba wa Kisukuma? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mwalimu unamiliki nyumba ngapi , Magari mangapi, una mashamba mangapi na ya ukubwa gani?
Mwalimu endelea na utambulisho naamini hujamaliza
Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.
Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .

Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.View attachment 1503031View attachment 1503032
Ticha una kiatu kizuri [emoji14][emoji2090]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom