Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Halafu ticha wa 90's age mate huyuChoma Kumoyo [emoji3][emoji16][emoji28][emoji1][emoji1]
Teacher Kalegeza Kitambi
Yaani Huyu!!!
Ashaanza kutoa historia yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ticha wa 90's age mate huyuChoma Kumoyo [emoji3][emoji16][emoji28][emoji1][emoji1]
Teacher Kalegeza Kitambi
Yaani Huyu!!!
Naona ticha anawaka tu[emoji13][emoji12]Na hayo mashavu ya uchumi wa kati hujayaona???[emoji85][emoji1787]
Naona ticha anawaka tu[emoji13][emoji12]
Nimecheka Mimi wallah[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Halafu mods wabaya. Badala wafute huu uzi kama ilivyo kawaida yao wamemwacha tu mwalimu wa watu anyeshewe na mvua. Mods hawafai sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]Naona ticha anawaka tu[emoji13][emoji12]
Nimecheka Mimi wallah[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mno[emoji23][emoji23][emoji110]JF inaongeza siku za kuishi
Mwenyewe amependa iwe hivyo.Halafu mods wabaya. Badala wafute huu uzi kama ilivyo kawaida yao wamemwacha tu mwalimu wa watu anyeshewe na mvua. Mods hawafai sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu mods wabaya. Badala wafute huu uzi kama ilivyo kawaida yao wamemwacha tu mwalimu wa watu anyeshewe na mvua. Mods hawafai sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeona eennhh?!!!.Wahaya[emoji1544]
Kwani umeulizwa mkuu??.Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.
Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .
Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.
Hongera sana Mwalimu.
Kuna confidence ipo ndani yako nimeiona utafika mbali sana.
Pambana usiangalie maneno ya watu
Ila walimu bhana..ni kundi fulani la watumishi wa umma ambao ni tofauti kabisa.Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.
Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .
Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.
Elimu ya cheti tu anajisifu, shuwainMwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.
Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .
Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.
ThanksHongera sana Mwalimu.