Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
Nianzie mkoani Kigoma
Mzee Kamachi ni Muha mzaliwa wa Kigoma Mjini Gungu
Kamachi alizaliwa miaka ya 1960 mkoani kigoma alikuwa mtoto wa kwanza kwenye familia ya Saidy Kumachi
Mzee Saidy alimzaa Kumachi baada ya kumpa mimba mama yake Kumachi wakati huo akiwa bado mwanafunzi jambo lililopelekea Saidy Kumachi kukimbia Mkoani Kigoma na kutoweka pasipo julikana
Baada ya miaka kadhaa kama 8 hivi alirudi Kigoma ila hakutaka kueleza alikokuwa miaka yote hiyo aliishi bila kusema alikuwa wapi japo hali ya kiuchumi hakuwa vizuri hata kidogo akampa mimba nyingine mama Kumachi yaani watoto wakawa wawili jambo lililozidi kumchanganya akili yaani hatoweza kuwahudumia watoto hao maamuzi aliyochukua ni kuondoka tena kwa kutoroka tena wakati huo Kumachi akiwa na miaka 9 akashindwa kusoma mtoto wa miaka Tisa akaingia mtaani kutafuta hela ili amsaidie mama yake katika hali ya umasikini jambo waliomshukuru ni kuwajengea kibanda cha kulala hivyo hawakupigia hesabu hela ya kodi bali chakula tu Kamachi alianza kuuza makopo chakavu na vyuma chakavu kazi iliyompa 2400 Au 3000 kwa SIKU
Kumachi aliweka kila SIKU 1000 lengo atomize 50000 alifanya hivyo ndani ya miezi 3 alikuwa na kama70000 aliacha biashara ya vyuma na makopo akaanza kwenda kununua dagaa kisha anawakaanga nakuanza kupitisha mtaani kazi ambayo ilimpa kama 6000 kwa siku
Hakuishia kuweka malengo alijiwekea 3000 kila SIKU yaani 3000 ya kula hazidishi hata mauzo yakiwa makubwa hazidishi matumizi ya 3000 zingine anaweka
Alifanya biashara kwa bidii ndani ya Mwaka mmoja Kumachi alikuwa na Laki 9 jambo ambalo lilizidi kumpa njia Kumachi akiwa na Miaka 12 alikuwa na Laki9 sio jambo Dogo Kumachi alimwambia mama yake kiasi cha pesa alichonacho mama yake alishangaa sana, Mama Kumachi alikuwa akiuza nyanya na mbogamboga sokoni gungu yeye toka azaliwe alisema hajawahi kushika laki 2 taslimu yake ila mwanae kashika pesa zaidi yaani anakaribia kufikisha Milioni
Mama Kumachi alimuuliza Kumachi hizo pesa anataka kuzifanyia nini, Kumachi akajibu biashara. Imagine mtoto wa miaka 12 akawa anawaza biashara akamwambia mama yake ila hajui afanye biashara gani alikaa baada ya wiki akaamua kuendeleza biashara yake ya dagaa ila katika style nyingine
Akaanza kumtumia mama yake akitaka mzigo wanaenda na mama yake Mwanza kufuata mzigo kisha anakuja kuuza Kigoma. Kazi iliyompa faida ya 250000 kwa mtaji wa 700000 pamoja na usafiri Kumachi alikuza biashara hiyo mpaka akawa mfanyabiashara mkubwa kwa kuanza kuagiza mzigo wakutosha na kupeleka nchi za jirani
Kuja kufika miaka ya 1983 Kumachi akiwa na miaka 23 tayari alikuwa na jina kubwa mipakani hali iliyomfanya awe tajiri na kubadikisha maisha ya familia yake kutoka kwenye umasikini hadi kuwa na pesa kwa sasa Kumachi anamiaka 61 ni tajiri Mkubwa na Katika miaka ya 2013 alimtafuta baba yake na kumpata akiwa Geita ila bado hali ya kiuchumi haikuwa nzuri na alikuwa tayari ana familia nyingine huko Geita baada ya miaka 40 na kitu hajamtia baba machoni kaja kumkuta Mzee Saidy Kumachi akiwa Mzee wa miaka 80 inadikitisha ila inatufundisha kitu
Anyways ni Story tu ya kubuni yeye lengo la kukuonyesha na kukupa mafunzo mengi kupitia story hii inaonyesha kila jambo linawezekana ukiweka malengo pia upande mwingine kuhusu mambo ya kukimbia familia inatufunza kitu ongea chochote kilichokugusa
#MrNoFair

Upvote
1