Historia ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1950s

Historia ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1950s

Bongo,
Mshume Kiyate alikuwa mjumbe katika Baraza la Wazee wa TANU.

Yeye alijitolea kuihudumia familia ya Mwalimu Julius Nyerere kuanzia 1955 hadi uhuru ulipopatikana 1961.
Je baada ya uhuru alikumbukwa jikoni kwenye kula keki? Au alitupwa jongoo.
 
Back
Top Bottom