Duh, hongera sana kichuguu, wewe ni mwana uchumi bila shaka, pia historia yetu. Inapendeza sana. Ukipata wasaa mzuri utudadavulie kuhusu hizi thamani ya fedha. Je Kwa nini fedha zete ina thamani ndogo ukilinganisha na Dola za marekani. Vigezo Gani hutumika kulinganisha, na nani anazipangia thamani hizi. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.