Historia ya Qur'an

Historia ya Qur'an

shida yenu huwa mnamezeshwa kamstari kamoja, wala hamjui mandhari Yesu aliyoongea aliongea akimaanisha nini, na mistari yote huwa mnamezeshwa huwa ni kwa ajili sio ya kuwasaidia mtende mema bali ili kuushinda Ukristo kwasababu ni nuru inayowatishia mno wauza dawa za suna.

Mathayo 28: 18 - 20
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Yesu alikuja duniani kuwaokoa wanadamu wote, sio wayahudi tu.


Kauli zinazonukuliwa kwa kudai kuwa ni ushahidi kuwa Yesu mwenyewe alitaka mafunzo yake yakafundishwe kwa ulimwengu wote yamo katika Injili ya Mathayo 28.19-20, Injili ya Luka 24.46-49 na Marko 16.15.

Mathayo inasema:

Basi, enendeni, mkwafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Mathayo 28.19-20

Luka anatwambia:

(Yesu) akwaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, naweletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kueni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.

Luka 24.46-49

Na Injili ya Marko inasema:

(Yesu) akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Marko 16.15

Je, imekuwaje?

Yesu ni kigeugeu?

Mbona huku anawakataza wanafunzi wake wasende kuwahubiria ila kabila kumi na mbili za Israili, na huku anawaambia nendeni kuwahubiria Injili ulimwengu mzima.

La, Yesu si mbabaishi, wala si kigeugeu.

Hebu natuziangalie vilivyo hizo amri mbili, moja ya kuwa mafunzo yake wasifunzwe ila wana wa Israili tu, na ya pili ni hii ya kuwa watu wote wafunzwe dini.

Vipande vyote vitatu nilivyonukulu mwishoni havitaji mambo ya Yesu alipokuwa na maisha yake ya uhai wa kidunia, lakini vyaeleza mambo yaliyotukia baada ya "kufufuka kutoka wafu" kama inavyosimuliwa na Injili zote tatu.

Yajulikana kuwa Injili ya mwanzo kuandikwa ni Injili ya Marko. Hizo nyingine ziliandikwa baadae, na labda ujuzi wao ulitegemea hiyo hiyo Injili ya Marko.

Yajuulikana vile vile kuwa maneno yote yaliyohusu kufufuka Yesu kutokana na wafu, pamoja na hayo maamrisho ya kwenda kuihubiri Injili "kwa kila kiumbe", kinyume na maamrisho yake yote ya kuwa asihubiriwe ila Muisraeli tu - maneno hayo yote hayakuwamo katik Marko ya asli, bali yaliongezwa baadae.

Encyclopaedia Brittanica, nakla ya 11, jalada 17, sahifa 730, yasema ya kuwa kipande chote hicho kiliongezwa baadae, yamkini mwanzo mwanzo wa karne ya pili, kuchukua maneno yaliyopotea, au yaliyoonekana kuwa ni mapungufu.
 
Kwani Nabii Adam alikuwa mkristo ??

kwenye Catholic encyclopedia wameandika mary alikuwa na miaka 12 alipomzaa Jesus

CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph
kwahiyo wewe unafuata catholic encylopedia? nimesema kwenye Biblia tuambie wapi walisema maria alikuwa na miaka hiyo? na hata angekuwa na 12 hapo ameanza kuvunja ungo, utafananisha na miaka 6 ya mood? unaweza kumwozesha mtoto wako wa miaka hiyo kwa mzee?
 
Mada inahusu quran we umeleta mambo ya biblia
Na katika watu wanaoongoza kuharibu uzi ni wewe ukishakuja uzi umeshahatibika tayari

Tulia dawa ikuingie , uzi umeleta wewe ???? , afadhali hujanywa sumu ya panya , hongera sana 😛 😛
 
kwahiyo wewe unafuata catholic encylopedia? nimesema kwenye Biblia tuambie wapi walisema maria alikuwa na miaka hiyo? na hata angekuwa na 12 hapo ameanza kuvunja ungo, utafananisha na miaka 6 ya mood? unaweza kumwozesha mtoto wako wa miaka hiyo kwa mzee?

Catholic ndiye mama wa makanisa yote kama umekwenda kwenye vijikanisa vya wasaka tonge , mimi nakuwachia mwenyewe
 
Catholic ndiye mama wa makanisa yote kama umekwenda kwenye vijikanisa vya wasaka tonge , mimi nakuwachia mwenyewe

Miaka sita kwani alikuwa dada yako hata uumie ?? ndivyo unavolishwa matango pori kanisani ? Mbona Nabii adam unakimbia alipooa mke wa siku moja ??
 
Bila kuandikwa kwani kanisa la mwanzo ni lipi ulimwenguni ??
kanisa la mwanzo ni la petro, yohana na mitume wote. ni kanisa ambalo hawajawahi kuabudu maria wala wafu (ila catholic wanaabudu/wanasali kwa maria), kanisa la kina petro hawajawahi kuombea maiti isamehewe (ila catholic wanafanya), sasa, hivi petro angefufuka sasaivi unafikiri angeenda kusali catholics? kuwa mkweli.
 
Hilo eneo la Makka na Madina kwa karne hizo liligubikwa na ibada ya miungu zaidi ya 360 ambayo iliwekwa hapo Alkaaba.
Huyo Allah mwenyewe kwa zama hizo alikuwa na watoto watatu.

Muhammad yeye kutokana na uswahaba wake na Wakristo akiwemo huyo Waraqa ndiye alibadili mwelekeo wa hayo madudw.

Ila hakukuwa na Uislamu kabla ya MUHAMMAD
Kama hakukuwa na uislamu Mona inasemekana watangulizi wake mtume walikuwa waislamu yaani akina Ibrahim Musa na Adam, hapo imekaaje?
 
Kama hakukuwa na uislamu Mona inasemekana watangulizi wake mtume walikuwa waislamu yaani akina Ibrahim Musa na Adam, hapo imekaaje?
uislam umekuja miaka 500 baada ya Yesu, hivi mtu akija sasaivi akasema hao watu walikuwa waislam, unafikiri watakuwa na akili timamu? kwamba Yesu mwenyewe alikuwa muislam,
 
uislam umekuja miaka 500 baada ya Yesu, hivi mtu akija sasaivi akasema hao watu walikuwa waislam, unafikiri watakuwa na akili timamu? kwamba Yesu mwenyewe alikuwa muislam,
Mwenyewe bado nashangaa ndiyo maana nimewauliza wenye Quran yao
 
kanisa la mwanzo ni la petro, yohana na mitume wote. ni kanisa ambalo hawajawahi kuabudu maria wala wafu (ila catholic wanaabudu/wanasali kwa maria), kanisa la kina petro hawajawahi kuombea maiti isamehewe (ila catholic wanafanya), sasa, hivi petro angefufuka sasaivi unafikiri angeenda kusali catholics? kuwa mkweli.

Waprotestant watakuambia hivyo of course
 
uislam umekuja miaka 500 baada ya Yesu, hivi mtu akija sasaivi akasema hao watu walikuwa waislam, unafikiri watakuwa na akili timamu? kwamba Yesu mwenyewe alikuwa muislam,

Neno Uislamu ni la asili ya Kiarabu lenye maana ya kutii au kusalimisha matakwa ya mtu kwa Mwenyezi Mungu wa kweli wa pekee, ajulikanaye kwa Kiarabu kama “Allah”.

Mtu ambaye amesalimisha matakwa yake kwa Mwenyezi Mungu (Allah) huuitwa “Mwislamu”.

Dini ya Kiislamu haikupewa jina kutokana na jina mtu au watu, wala halikuamuliwa na kizazi chochote cha wanadamu kama vile Ukristo ambao ulipewa jina kutokana na “Yesu Kristo”, Ubudha unatokana na jina la Gautama Buddha, Kunfushian, unatokana na Confucius, Umaksi ulipewa jina la Karl Marx; Uyahudi unatokana na jina la kabila la Yuda na Ubaniani (Uhindu) unatokana na jina la Hindu.

Uislamu (kutii amri za Mwenyezi Mungu) ni dini aliyopewa Adam, mtu wa kwanza na mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu, na Uislamu ndio dini ya mitume wote walio tumwa na Mwenyezi Mungu kwa wanadamu. Kwa kuongezea, jina la Uislamu lilichaguliwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe na limetajwa wazi wazi katika kitabu cha mwisho cha Allah (Quran).

Allah alimfunulia mwanadamu katika kitabu cha mwisho alicho mfunulia Mwanadamu. Katika ufunuo wa mwisho, uitwao kwa Kiarabu Al-Quran Allah ameeleza yafuatayo:

- “… Leo Nime kukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema Yangu, na Nime kupendeleeni Uislamu uwe Dini yenu…” [Quran 5:3]

“Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haita kubaliwa kwake…”

[Quran 3:83]

Kwa hiyo, Uislamu haudai kuwa ni dini mpya iliyoletwa Arabuni na Mtume Muhammad katika karne ya saba, lakini Uislamu ni mwendelezo wa sehemu ya mwisho ya dini ya Allah, kama ilivyofunuliwa toka mwanzo kwa Adam na mitume waliomfuatia.
 
Biblia inakuambiaje? unatakiwa kuomba kwa maria na wafu? unatakiwa kuomba msamaha kwa maiti?

hayo mtujuana na wakatoliki , kila mmoja ana biblia yake ziko kwa maelfu na zote ni tofauti 😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom