Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

Samahani Wakuu, naomba kufahamu mwisho (Mwaka)
wa matumizi/Kuondoka kwenye mzunguko sarafu ya shilingi ishirini yenye picha ya tembo na sura ya Mwinyi!?
IMG_20221205_190857_489.jpg
 
1681538184788.jpg
Naitafuta hii sarafu ya shilingi 20 ya mwaka 1993 mwenye nayo anicheki nitampa ya chai
 
Mkuu.. Katika shughuli zangu za kilimo, wakati napiga matuta nilibahatika kuifukua salafu hyo ya 1 heller. Ni copyright kabsa na hii yako.
JamiiForums-485318232.jpg


Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Pesa nyingi pesa nyingi ama tujiteke ?nononoo
Pesa nyingi pesa nyingi ama tujiteke? Nononoo
Shaur zaoo ooh ooh ooh ooooh ooh
Kimpango waaoo ooh ooh ooh ooooh ooh
🎼🎼🎼🎼
 
Kumbe Nina Aset Tena ukumbusho, mie wa early 90s sikuzikuta hizo no lie
 

Attachments

  • IMG_20240816_110523.jpg
    IMG_20240816_110523.jpg
    2.8 MB · Views: 18
Back
Top Bottom