Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Umuofia kwenu!
Naomba kujuzwa machache kuhusu Taifa hili, linaloongozwa na Mfalme Mswati (kwa sasa). Kijiografia limezungukwa (limemezwa) na nchi ya Africa Kusini, machache kati ya mengi ni kama ifuatavyo:
Kwa kuzingatia jiografia yake, na historia ya uhuru wa Africa Kusini (Mandela), natamani kujua kama Eswatini pia ilitawaliwa na Makaburu au wengineo na harakati zake za kujikomboa.
Kama ilitawaliwa, nitapenda kujua ilipata uhuru lini na Mswati ni mfalme wa ngapi kwenye historia ya nchi hiyo. Je, ile kuoa ‘wanawake 40’ ni utaratibu wao kwa Mfalme au ni hulka ya Mswati tu?
Kiufupi natamani kujifunza mengi tu, karibuni tujifunze kwa pamoja.
Natanguliza shukrani.