Historia ya Taifa la Eswatini (Swaziland)

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Umuofia kwenu!

Naomba kujuzwa machache kuhusu Taifa hili, linaloongozwa na Mfalme Mswati (kwa sasa). Kijiografia limezungukwa (limemezwa) na nchi ya Africa Kusini, machache kati ya mengi ni kama ifuatavyo:

Kwa kuzingatia jiografia yake, na historia ya uhuru wa Africa Kusini (Mandela), natamani kujua kama Eswatini pia ilitawaliwa na Makaburu au wengineo na harakati zake za kujikomboa.

Kama ilitawaliwa, nitapenda kujua ilipata uhuru lini na Mswati ni mfalme wa ngapi kwenye historia ya nchi hiyo. Je, ile kuoa ‘wanawake 40’ ni utaratibu wao kwa Mfalme au ni hulka ya Mswati tu?

Kiufupi natamani kujifunza mengi tu, karibuni tujifunze kwa pamoja.

Natanguliza shukrani.
 
Usingizi japo natamani kukujibu hebu ngoja ni mwite jamaa yangu wa lindo atiririke Mang'ula
 
Me natamani nitukane,swali gani hili? Hivi huko shule ulienda kusoma au kuongeza idadi ya watoro?
 
Umuofia kwenu!

Naomba kujuzwa machache kuhusu Taifa hili, linaloongozwa na Mfalme Mswati (kwa sasa). Kijiografia limezungukwa (limemezwa) na nchi ya Africa Kusini, machache kati ya mengi ni kama ifuatavyo:

Kwa kuzingatia jiografia yake, na historia ya uhuru wa Africa Kusini (Mandela), natamani kujua kama Eswatini pia ilitawaliwa na Makaburu au wengineo na harakati zake za kujikomboa.

Kama ilitawaliwa, nitapenda kujua ilipata uhuru lini na Mswati ni mfalme wa ngapi kwenye historia ya nchi hiyo. Je, ile kuoa ‘wanawake 40’ ni utaratibu wao kwa Mfalme au ni hulka ya Mswati tu?

Kiufupi natamani kujifunza mengi tu, karibuni tujifunze kwa pamoja.

Natanguliza shukrani.
Kila mwaka anaoa, tena anaoa bikra pure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom