thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kwan wewe unaelewaje?
British King Dom empire wametawala dunia nzima na ndio walichora ramani ya duniaMisri
Ashuru(Iraq)
Babel(Iraq)
Wamedi na Waajemi(Iran)
Wayunani(Ugiriki)
Rumi
Ni hatari lakini salama.
Mamparaz,.Unaona kitabu kilichotumika lakini huwezi tambua.
Huu pia Ni uwongo mwingine ,kizazi hiki kea kulishana matango pori hawajamboBritish King Dom empire wametawala dunia nzima na ndio walichora ramani ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan kakudanganya ?
Marekani ianguke?
Kuna namna utawala ulitofautiana USA anatawala kwa akili mfano anatengeneza vita,magonjwa na biashara ya technology kutawala dunia tofauti wababe wa zamani walitumia mabavu kutawala dunia hvyo ilikuwa ni nyepesi kuwaangusha ingawaje USA hawezi kutawala milele ipo cku ataangushwa ila siyo hv karibuni kwa hii migogoro ya IranMkuu hakuna kipindi dunia imeishi bila kuongozwa na dola fulani kubwa..hii dola ya america haikuwepo kipindi cha nyuma, palikuwa na wababe wengine ambao kwa nyakati zao waliongoza dunia'
Hujawai sikia dola la rumi? (Rumi empire) uajemi, hujui kuhusu misri chini ya farao?
Au wewe unajua ni hadithi tu za kutunga!!?
Kipidi hicho hiyo marekani inayoisema ilikuwa si loloote!
Nyie wcb ni shidaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app