Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Nkumbison,Sasa tutaitambuaje historia iliyosahihi ilhali haujui hata kwa nini hawakuandikwa, umejaribu kuulizia kwa walioiandika ya sasa kwanini wahusika wengine hawajawekwa katika hiyo historia ya TANU?
thanks kwa hili kwa maana umeniondolea sitofahamu niliyokuwa nayo,ninafanya utafiti kuona kama hiki chuo kimeshawahi kumpa u Doctor wa heshima.Nkanini,
Nyerere hakupatapo kusoma Fort Hare.
Ni vema name ni msomaji sana wa vitabu maana ninajitahidi mno katika kupata na kuelewa the other side of story(kila story ina side mbili) na tatizo la working class yetu tumekuwa wavivu au tumelose touch nini kinatokea on the ground au na ukweli,vitabu vingi mno vinaanza kutoka hasa vikielezea historia halisi kuhusu kilichotokea katiak ukanda wetu huu wa Africa;uhuru wa Angola,Zimbabwe,Msumbiji maelezo ya upande wa pili yanaanza kujitokeza,hizi front line states ambazo tunaambia zilichochoa zaidi upatikanaji wa uhuru wa nchi hizo inaonekana zimetiwa chumvi nyingi mno,nini kilitokea kwenye makambi ya hivi vyama vinavyojiita vya ukombozi yalifichwa kwa makusudi mazima sasa yanajitokeza(time ni mwamuzi wa haki),SA SIO kwamba ANC pekee ndio wachukue sehemu kubwa ya pie kuhusu kusitishwa kwa siasa za kibaguzi kuna players wakubwa mno kama UDF,etc etc,why Kaunda na Nyerere walitofautiana kuhusu vyama ndani ya Angola,why Mugabe alikuwa close na PAC na sIo na ANC ukweli wake upo hadharani now.mtoa hoja keep up kwa kujitolea kutuelimisha,middle class walioridhika ambao wanataka mfumo huu uendelee kwa kuridhika na vijipande vya mkate wache waendelee kusimika vichwa vyao mchangani.Nkumbison,
Kama wewe au na wengine hamuijui historia ya kweli nakushaurini msome kitabu cha Abdul Sykes.
Nimekiandika baada ya kuona kuwa historia iliyoandikwa si historia ya kweli.
Mimi naijua historia ya kweli ya TANU kwa kuwa walioasisi chama hicho ni wazee wangu na historia hiyo haikuanza mwaka wa 1954 bali 1929 wazee wangu walipoasisi African Association na kwa bahati nzuri wameacha nyaraka, picha na mswada wa historia hii.
Vyote hivi viko ndani ya kitabu changu.
Nkumbison,

Heller,Biashara ya vitabu inaendaje.?
vitabu vyako vinapatikana wapi na kwa bei gani.?
kwa nn kiu yako kubwa ni hawa akina Kleist na sio akina Bibi Titi au Dr.Kyaruzi.!!?
*historia yako ya 'ukweli' uliyosimuliwa na wazee wako..hawa akina Bibi Titi & co ndio hawaitaki.!
kunywa kahawa
Denvers,Wee mze kwanini ulikosa kwenye lile kundi la wazee wa uamsho.. maana umekaa kidini sana afu mchochezi
Ameanza ule uongo utakaokubalika kwa hao hao akili ndogo wa Mtume Muhammad.Hizi pumba uwe unasimulia wajukuu wako
Watanzania hatuna muda na uongo wako
Azarel,Ameanza ule uongo utakaokubalika kwa hao hao akili ndogo wa Mtume Muhammad.
Hilo ndio gazeti lao na wanayo redio yao pia.
Hahaha.