M mangi55 New Member Joined Jan 7, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Mar 29, 2021 #21 Tanganyika ilitawaliwa na mwingereza kuanzia 1919...au 1918 baada ya vita ya kwanza ya dunia???
M mangi55 New Member Joined Jan 7, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Mar 29, 2021 #22 Emmanuel Kasomi said: Duh! Noma kweli kweli Click to expand... Tanganyika imetawaliwa na mwingereza kuanzia mwaka gan
Emmanuel Kasomi said: Duh! Noma kweli kweli Click to expand... Tanganyika imetawaliwa na mwingereza kuanzia mwaka gan
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Mar 30, 2021 Thread starter #23 mangi55 said: Tanganyika imetawaliwa na mwingereza kuanzia mwaka gan Click to expand... 1919 baada ya kumuondoa mgheruman
mangi55 said: Tanganyika imetawaliwa na mwingereza kuanzia mwaka gan Click to expand... 1919 baada ya kumuondoa mgheruman
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Mar 30, 2021 #24 Emmanuel Kasomi said: 1919 baada ya kumuondoa mgheruman Click to expand... Na Muingereza ndiye aliyegeuza mpango wa kuifanya Tanga kuwa makao makuu ya nchi. Mjerumani aliipenda Tanga na hasa maeneo ya karibu ya Lushoto ambayo yana hali ya hewa ya baridi kama kwao.
Emmanuel Kasomi said: 1919 baada ya kumuondoa mgheruman Click to expand... Na Muingereza ndiye aliyegeuza mpango wa kuifanya Tanga kuwa makao makuu ya nchi. Mjerumani aliipenda Tanga na hasa maeneo ya karibu ya Lushoto ambayo yana hali ya hewa ya baridi kama kwao.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Mar 30, 2021 Thread starter #25 bitimkongwe said: Na Muingereza ndiye aliyegeuza mpango wa kuifanya Tanga kuwa makao makuu ya nchi. Mjerumani aliipenda Tanga na hasa maeneo ya karibu ya Lushoto ambayo yana hali ya hewa ya baridi kama kwao. Click to expand... Kwahiyo kumbe tanga wamlaumu muingereza
bitimkongwe said: Na Muingereza ndiye aliyegeuza mpango wa kuifanya Tanga kuwa makao makuu ya nchi. Mjerumani aliipenda Tanga na hasa maeneo ya karibu ya Lushoto ambayo yana hali ya hewa ya baridi kama kwao. Click to expand... Kwahiyo kumbe tanga wamlaumu muingereza
M mangi55 New Member Joined Jan 7, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Mar 30, 2021 #26 Emmanuel Kasomi said: 1919 baada ya kumuondoa mgheruman Click to expand... Mbona vitabu vya historia vmeandika kuanzia 1918 had 1961
Emmanuel Kasomi said: 1919 baada ya kumuondoa mgheruman Click to expand... Mbona vitabu vya historia vmeandika kuanzia 1918 had 1961
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Mar 30, 2021 Thread starter #27 mangi55 said: Mbona vitabu vya historia vmeandika kuanzia 1918 had 1961 Click to expand... 1918 ni utawala wa mwisho wa mjerumani
mangi55 said: Mbona vitabu vya historia vmeandika kuanzia 1918 had 1961 Click to expand... 1918 ni utawala wa mwisho wa mjerumani