Historia ya Tanzania

Historia ya Tanzania

Tanganyika ilitawaliwa na mwingereza kuanzia 1919...au 1918 baada ya vita ya kwanza ya dunia???
 
1919 baada ya kumuondoa mgheruman

Na Muingereza ndiye aliyegeuza mpango wa kuifanya Tanga kuwa makao makuu ya nchi.

Mjerumani aliipenda Tanga na hasa maeneo ya karibu ya Lushoto ambayo yana hali ya hewa ya baridi kama kwao.
 
Kwahiyo kumbe tanga wamlaumu muingereza
 
Back
Top Bottom