Historia ya Uganda kipindi cha Idd Amin ni kama imejirudia Tanzania

Historia ya Uganda kipindi cha Idd Amin ni kama imejirudia Tanzania

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa Idd Amin nchi ya Uganda.
Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa Tanzania ni kama yale ya Uganda.

Utekaji wa wazi, ufisadi wa kitisha, uchawa wa kiwango cha wadudu na n.k

Hipo siku sijui ni lini ila tutakuwa na rekodi nyengine ya kutisha kabisa.
 
Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa idd amin nchi ya uganda.
Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa tanzania ni kama yale ya uganda.

Utekaji wa wazi,ufisadi wa kitisha,uchawa wa kiwango cha wadudu na n.k

Hipo siku sijui ni lini ila tutakuwa na rekodi nyengine ya kutisha kabisa.
Hipo siku...
 
Historia huwa ina kawaida ya kujirudia.
 
Na wasiwasi nchi ikawa na machafuko na vita, hadi kusababisha wakimbizi nchi za jirani
mstarajie ccm ikatoka madarakani kirahisi. Damu itamwagika, uasi wa kijeshi, tamko la hali ya hatari. Vikao vya amani na uongozi wa mpito vinaweza kutokea
 
Bora hata Idi Amini alituheshimisha watu weusi......
1746187001443.png

1746187029040.png
 
Hatari yake wahusika hawakamatwi; Hii inafanana sana na enzi zile sema vijana wa sasa hawakuwepo. Harafu rais akihutubia ni mipasho yani vile vile
 
mwanamke hajawahi kuwa kiongozi ndiomaana dini kuu haziwezi kuwapa hata usimamizi wa lolote msikitini wala kanisani, vijembe na mipasho haijawahi kufanya maendeleo hata siku moja.
 
Mtoa mada anamfananisha Idd Amin na vitu vya kijinga jinga!!!
images (13).jpeg

We hata mkeo wanakugongea maana hata ujasusi wa akili yako umekushinda
 
Back
Top Bottom