Hipo siku...Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa idd amin nchi ya uganda.
Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa tanzania ni kama yale ya uganda.
Utekaji wa wazi,ufisadi wa kitisha,uchawa wa kiwango cha wadudu na n.k
Hipo siku sijui ni lini ila tutakuwa na rekodi nyengine ya kutisha kabisa.
Historia huwa ina kawaida ya kujirudia.Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa idd amin nchi ya uganda.
Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa tanzania ni kama yale ya uganda.
Utekaji wa wazi,ufisadi wa kitisha,uchawa wa kiwango cha wadudu na n.k
Hipo siku sijui ni lini ila tutakuwa na rekodi nyengine ya kutisha kabisa.
🤣🤣🤣🤣Bora hata Idi Amini alituheshimisha watu weusi......
View attachment 3322689
View attachment 3322691
Mtoa mada anamfananisha Idd Amin na vitu vya kijinga jinga!!!Bora hata Idi Amini alituheshimisha watu weusi......
View attachment 3322689
View attachment 3322691
Si kujirudia tu,na kwenda beyond hadi kuvunja rekodi za waliotanguliaHistoria huwa ina kawaida ya kujirudia.
Kabisamwanamke hajawahi kuwa kiongozi ndiomaana dini kuu haziwezi kuwapa hata usimamizi wa lolote msikitini wala kanisani, vijembe na mipasho haijawahi kufanya maendeleo hata siku moja.