Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
...........Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said. Bila kumung'unya maneno madai ya Mohamed Said kutoa elimu ya historia ya kweli ni porojo hatari iliyojaa uchochezi ambayo lengo lake hasa ni kuleta uhasama wa kidini miongoni mwa wananchi. Sijui anachotegemea kufaidika nacho kwa kupanda hii mbegu ya hatari ambayo nina hakika mtu kama Mohamed Said anajua fika madhara yake.!
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said. Bila kumung'unya maneno nayaita madai ya Mohamed Said la kutoa elimu ya historia ya kweli ni porojo hatari iliyojaa uchochezi ambayo lengo lake hasa ni kuleta uhasama wa kidini miongoni mwa wananchi. Sijui anachotegemea kufaidika nacho kwa kupanda hii mbegu ya hatari ambayo nina hakika mtu kama Mohamed Said anajua fika madhara yake.
Mohamed Said ni kama kipofu ambaye baada ya kusimuliwa na wazee kwamba tembo ni mnyama mkubwa kuliko wanyama wengi anapata nafasi ya kumpapasa tembo. Kwa bahati mbaya anaupapasa mguu wa tembo na si mwili wote halafu katika imani yake anadai anao uwezo wa kutoa somo kuhusu umbo la mnyama tembo na ushuhuda wake, kuwa tembo ni kama gogo la mti mkubwa, ndio ukweli na anayesema tofauti hajui kitu. Watu wote wanaolalamikiwa na Mohamed Said kuwa walisahauliwa, wengi wao walikuwa wakazi wa Dar es Salaam eneo la Gerezani.
Kabla ya uhuru Tanganyika iligawanywa katika majimbo makuu manane na katika majimbo yote hayo, jimbo la pwani kwa ujumla lilikuwa moja ya majimbo yaliyokuwa nyuma kimaendeleo kiuchumi, kielimu na kisiasa na hiyo ni licha ya kuwa makao makuu ya serikali ya kikoloni yalikuwa Dar es Salaam. TAA ilianzishwa na watumishi wa serikali (civil servants) na kwa wakati wote kazi kubwa ya TAA ilikuwa ni kulalamika ikidai haki ya wafanyakazi bila upendeleo na hasa ubaguzi wa rangi katila utumishi kubwa ukiwa uonevu dhidi ya wazawa, mtu mweusi.
Jimbo la Ziwa ni moja ya majimbo yaliyokuwa mbele kiuchumi, kielimu na kisiasa na kama kuna kitu kinaweza kudaiwa kuwa kilisahaulika katika harakati ya kupigania uhuru ni mchango wa Jimbo la Ziwa (Bukoba, Mwanza, Mara na Shinyanga) Jimbo la Ziwa ndilo lililoongoza kwa idadi ya watu, idadi ya makabila, idadi ya mali asili na idadi ya machifu ambao nafasi yao ilikuwa kubwa tu katika kuhamasisha watu. Moja wa watu ambao mchango wao nitautaja kidogo tu ingawa alifanya jitihada kubwa labda zaidi ya wazee wa Mohamed Said ni Paul "Kishamapanda" Bomani.
Historia ya harakati za uhuru ni zaidi ya porojo za Mohamed Said, watu walipigania uhuru kama Watanganyika na bila kubaguana kikabila, kidini wala kijinsia. Ndio maana mimi sitaki kabisa kuwa na majibizano na huyu Mohamed Said moja kwa moja ila kwa kuwa hoja ileletwa JF, akae tayari kupewa somo kuhusu umbile zima la mnyama tembo na sio mguu moja wa tembo alioupapasa. Hapa mimi nitaongea sana kuhusu mchango wa Jimbo la Ziwa na baadaye kuonyesha jinsi maadui wa nchi yetu wanavyowatumia kidini watu kama huyu Mohamed Said.
Baadaye nitaeleza jinsi Mkoa wa Mara yenye makabila karibu hamsini yalivyoweza kushirikiana bila mfarakano na kuitikia mwito wa Mwalimu Nyerere katika hizo harakati za kudai uhuru. Je mwamko wa wakazi wa jimbo la Ziwa ulikuwaje na mapokezi gani aliyapata kila wakati Mwalimu aliporudi kwenye hili jimbo ambalo idadi ya wakazi wake kwenye miaka ya 50s ilikuwa mara tatu ya majimbo mengi Tanganyika kama Pwani. Pia nitaonyesha ni wakati gani walianza kuyasikia hayo majina anayodai Mohamed Said ya wazee wa Gerezani Dar es Salaam !

***************************************************************************************************Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said. Bila kumung'unya maneno nayaita madai ya Mohamed Said la kutoa elimu ya historia ya kweli ni porojo hatari iliyojaa uchochezi ambayo lengo lake hasa ni kuleta uhasama wa kidini miongoni mwa wananchi. Sijui anachotegemea kufaidika nacho kwa kupanda hii mbegu ya hatari ambayo nina hakika mtu kama Mohamed Said anajua fika madhara yake.
Mohamed Said ni kama kipofu ambaye baada ya kusimuliwa na wazee kwamba tembo ni mnyama mkubwa kuliko wanyama wengi anapata nafasi ya kumpapasa tembo. Kwa bahati mbaya anaupapasa mguu wa tembo na si mwili wote halafu katika imani yake anadai anao uwezo wa kutoa somo kuhusu umbo la mnyama tembo na ushuhuda wake, kuwa tembo ni kama gogo la mti mkubwa, ndio ukweli na anayesema tofauti hajui kitu. Watu wote wanaolalamikiwa na Mohamed Said kuwa walisahauliwa, wengi wao walikuwa wakazi wa Dar es Salaam eneo la Gerezani.
Kabla ya uhuru Tanganyika iligawanywa katika majimbo makuu manane na katika majimbo yote hayo, jimbo la pwani kwa ujumla lilikuwa moja ya majimbo yaliyokuwa nyuma kimaendeleo kiuchumi, kielimu na kisiasa na hiyo ni licha ya kuwa makao makuu ya serikali ya kikoloni yalikuwa Dar es Salaam. TAA ilianzishwa na watumishi wa serikali (civil servants) na kwa wakati wote kazi kubwa ya TAA ilikuwa ni kulalamika ikidai haki ya wafanyakazi bila upendeleo na hasa ubaguzi wa rangi katila utumishi kubwa ukiwa uonevu dhidi ya wazawa, mtu mweusi.
Jimbo la Ziwa ni moja ya majimbo yaliyokuwa mbele kiuchumi, kielimu na kisiasa na kama kuna kitu kinaweza kudaiwa kuwa kilisahaulika katika harakati ya kupigania uhuru ni mchango wa Jimbo la Ziwa (Bukoba, Mwanza, Mara na Shinyanga) Jimbo la Ziwa ndilo lililoongoza kwa idadi ya watu, idadi ya makabila, idadi ya mali asili na idadi ya machifu ambao nafasi yao ilikuwa kubwa tu katika kuhamasisha watu. Moja wa watu ambao mchango wao nitautaja kidogo tu ingawa alifanya jitihada kubwa labda zaidi ya wazee wa Mohamed Said ni Paul "Kishamapanda" Bomani.
Historia ya harakati za uhuru ni zaidi ya porojo za Mohamed Said, watu walipigania uhuru kama Watanganyika na bila kubaguana kikabila, kidini wala kijinsia. Ndio maana mimi sitaki kabisa kuwa na majibizano na huyu Mohamed Said moja kwa moja ila kwa kuwa hoja ileletwa JF, akae tayari kupewa somo kuhusu umbile zima la mnyama tembo na sio mguu moja wa tembo alioupapasa. Hapa mimi nitaongea sana kuhusu mchango wa Jimbo la Ziwa na baadaye kuonyesha jinsi maadui wa nchi yetu wanavyowatumia kidini watu kama huyu Mohamed Said.
Baadaye nitaeleza jinsi Mkoa wa Mara yenye makabila karibu hamsini yalivyoweza kushirikiana bila mfarakano na kuitikia mwito wa Mwalimu Nyerere katika hizo harakati za kudai uhuru. Je mwamko wa wakazi wa jimbo la Ziwa ulikuwaje na mapokezi gani aliyapata kila wakati Mwalimu aliporudi kwenye hili jimbo ambalo idadi ya wakazi wake kwenye miaka ya 50s ilikuwa mara tatu ya majimbo mengi Tanganyika kama Pwani. Pia nitaonyesha ni wakati gani walianza kuyasikia hayo majina anayodai Mohamed Said ya wazee wa Gerezani Dar es Salaam !
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said. Bila kumung'unya maneno nayaita madai ya Mohamed Said la kutoa elimu ya historia ya kweli ni porojo hatari iliyojaa uchochezi ambayo lengo lake hasa ni kuleta uhasama wa kidini miongoni mwa wananchi. Sijui anachotegemea kufaidika nacho kwa kupanda hii mbegu ya hatari ambayo nina hakika mtu kama Mohamed Said anajua fika madhara yake.
Mohamed Said ni kama kipofu ambaye baada ya kusimuliwa na wazee kwamba tembo ni mnyama mkubwa kuliko wanyama wengi anapata nafasi ya kumpapasa tembo. Kwa bahati mbaya anaupapasa mguu wa tembo na si mwili wote halafu katika imani yake anadai anao uwezo wa kutoa somo kuhusu umbo la mnyama tembo na ushuhuda wake, kuwa tembo ni kama gogo la mti mkubwa, ndio ukweli na anayesema tofauti hajui kitu. Watu wote wanaolalamikiwa na Mohamed Said kuwa walisahauliwa, wengi wao walikuwa wakazi wa Dar es Salaam eneo la Gerezani.
Kabla ya uhuru Tanganyika iligawanywa katika majimbo makuu manane na katika majimbo yote hayo, jimbo la pwani kwa ujumla lilikuwa moja ya majimbo yaliyokuwa nyuma kimaendeleo kiuchumi, kielimu na kisiasa na hiyo ni licha ya kuwa makao makuu ya serikali ya kikoloni yalikuwa Dar es Salaam. TAA ilianzishwa na watumishi wa serikali (civil servants) na kwa wakati wote kazi kubwa ya TAA ilikuwa ni kulalamika ikidai haki ya wafanyakazi bila upendeleo na hasa ubaguzi wa rangi katila utumishi kubwa ukiwa uonevu dhidi ya wazawa, mtu mweusi.
Jimbo la Ziwa ni moja ya majimbo yaliyokuwa mbele kiuchumi, kielimu na kisiasa na kama kuna kitu kinaweza kudaiwa kuwa kilisahaulika katika harakati ya kupigania uhuru ni mchango wa Jimbo la Ziwa (Bukoba, Mwanza, Mara na Shinyanga) Jimbo la Ziwa ndilo lililoongoza kwa idadi ya watu, idadi ya makabila, idadi ya mali asili na idadi ya machifu ambao nafasi yao ilikuwa kubwa tu katika kuhamasisha watu. Moja wa watu ambao mchango wao nitautaja kidogo tu ingawa alifanya jitihada kubwa labda zaidi ya wazee wa Mohamed Said ni Paul "Kishamapanda" Bomani.
Historia ya harakati za uhuru ni zaidi ya porojo za Mohamed Said, watu walipigania uhuru kama Watanganyika na bila kubaguana kikabila, kidini wala kijinsia. Ndio maana mimi sitaki kabisa kuwa na majibizano na huyu Mohamed Said moja kwa moja ila kwa kuwa hoja ileletwa JF, akae tayari kupewa somo kuhusu umbile zima la mnyama tembo na sio mguu moja wa tembo alioupapasa. Hapa mimi nitaongea sana kuhusu mchango wa Jimbo la Ziwa na baadaye kuonyesha jinsi maadui wa nchi yetu wanavyowatumia kidini watu kama huyu Mohamed Said.
Baadaye nitaeleza jinsi Mkoa wa Mara yenye makabila karibu hamsini yalivyoweza kushirikiana bila mfarakano na kuitikia mwito wa Mwalimu Nyerere katika hizo harakati za kudai uhuru. Je mwamko wa wakazi wa jimbo la Ziwa ulikuwaje na mapokezi gani aliyapata kila wakati Mwalimu aliporudi kwenye hili jimbo ambalo idadi ya wakazi wake kwenye miaka ya 50s ilikuwa mara tatu ya majimbo mengi Tanganyika kama Pwani. Pia nitaonyesha ni wakati gani walianza kuyasikia hayo majina anayodai Mohamed Said ya wazee wa Gerezani Dar es Salaam !
Nimefuatilia thread kwa muda mrefu ila nlipofika hapa nikaona niweke kambi kidogo.Naona kila wanapojaribu huwa wanashindwa hata pa kuanzia na wanaamuwa kuanza na matusi. Pole Sheikh Mohamed kwa kutusiwa bila sababu.
Halafu wamejaribu kufika mpaka Upare wakakumbana na TAA sasa waeleze hao wapare kwanini waliungana na TAA na waasisi wa TAA ni kina nani.
Naona wanakuja na hadithi zisizo na mpango wala kichwa wala miguu. Wasomi hao. Wanashangaza!
Kina mama waliona bora kufa kuliko fedhehaLaah la la! Mkuu Mag3, ahsante sana umenikumbusha kisa kimoja. Unajua hilo la wanawake wa Kipare lilitokana na mambo kadhaa. Mwingereza aliweka kodi ya kichwa na wakati huo ilikuwa ni kubwa sana.
Wanaume wa Kipare wakalazimika kulala maporini ili wasikamatwe. Wake zao wakaungana na kuwatia ushujaa wa kupambana.
Wanaume woote( aliyebaki alikuwa mahututi) na wale vijana waliotoka jando wakaungana bila kujali dini zao au koo zao. Wakabeba mishale na mikuki na kuandamana kwa miguu kutoka upare milimani, zaidi ya KM 180 kwenda Boma la iliyokuwa makao makuu ya Pare, Same.
Maandamano yalikuwa ya amani lakini tayari kwa lolote lile. Mwingereza DC alipoona Boma limevamiwa akapiga simu kwa Gavana na kutoa amri ya kufuta kodi hio hapo hapo.
Wazee wakarudi mshaujaa. Hiyo inaitwa KODI YA MBIRU. Muulize mzee yoyote wa kipare mwenye 70+ atakueleza. Hili nimeelezwa na wazee wangu na wapo hai baadhi, kama kuna anayetaka ushaidi ahlan wahsalan, nitatoa nauli, malazi na chakula Tukawahoji wazee wangu.
Ndiyo maana wakati wa kupigania uhuru Nyerere alikubalika sana huko. Je hawa hawakuwa wapigania uhuru!
Na hao akina mama aliotaja Mag3 na kwingine huko, je si wapigania uhuru wa Tanganyika!
Hilo sharti uliloliweka ni gumu sana kwa kina Faizafoxy na Mzee SaidNimefuatilia thread kwa muda mrefu ila nlipofika hapa nikaona niweke kambi kidogo.
Samahani kwa kunukuu post ya miaka 7 iliyopita dada yangu.
Hao waasisi wa TAA ni kina nani ukiondoa imani yao dini?
Mimi binafsi siujui umri wa huyu M Said labda ni wale wa wakati wetu wa miaka ya themanini walio lalamikia serikali kwamba wanakosa nafasi za elimu ya juu sababu ya waseminari na serikali kuzuia nafasi za kuingia form five kosa letu likiwa kufanya vizuri katika mitihani.sasa hapo ndugu yangu ndio wengine tunapata tatizo kwa sababu si kwamba unataka kutusaidia kujua bali kutuchagulia unachotaka tujue. Miye swali langu kwa kweli ni genuine ili kuelewa lakini kuniambia hutaki kuniambia ili usije nitie dhiki ni kama unaona unataka kunikomoa na hivyo kuendeleza kitu cha "selective history" ambayo unatupatia. Nyerere hakuandika yaweza kabisa kuwa kweli lakini alikuwa na mchango gani katika uandishi wa hiyo katiba? Je huyo aliyeandika (ambaye humtaji) alimshirikisha Nyerere au kiongozi mwingine yeyote au alijifanyia mwenyewe hiyo kazi chumbani na kuwaletea wakaipitisha tu?
Hujamuelewa pia. Mag3 anajibu hoja za topic ya Mohammed Said. Na ka quote kabisa kila kipengele lakini yaonekana umvamia agenda ambayo huijui mwanzo wake. Wewe ni kama mtu uliyealikwa katika sherehe mtaa fulani ukapotea ukafika mtaani ukaona kuna mziki na watu wanakunywa pombe kapangusa makalio ukakaa chini bila kuuliza. Kumbe upo kwenye msiba wa wajaluo ama wanyakyusa.Nooo. Mwandishi wa topic hii ni Mag3. C'mon, let's be honest
Hapana,inatubidi tujue ni nani alikuwa na jukumu la kudai uhuru wa Tanganyika.Hilo sharti uliloliweka ni gumu sana kwa kina Faizafoxy na Mzee Said
Huyu ndiye Mwanakijiji wa Enzi zile, sio mwanakijiji huyu wa sasa hivi.Hii sasa shule; yawezekana kumbe watu kama kina Paulo Kajiru walimtangulia Abdulwahid Sykes katika harakati za kupinga ukoloni Tanganyika. Sidhani kama mgogoro huu wa Upareni Bw. Said kaugusia kwenye kitabu chake maana Mgogoro wa Ardhi wa Meru inaonekana umekuja baadaye.
Kwani kina Chief Mkwawa, Meli, Songea walikuwa wala chapati?Pwani ndio kulikuwa na hela hata gharama za kudai uhuru zilibebwa na watu wa pwani nyie wa ziwa hata maana ya uhuru mlikuwa hamjuwi sembuse kumiliki mali may be mifugo.
watu mkivaa magome tu muda wote hata huo uhuru mtadai vp. ukiangalia wajumbe wa TANU wote ni midume ya pwani huko ziwani akiwajuwa nani nyie kama sio sangara tu.
hahahaaa eti wala chapati, pwani ndio tz ndugu wewe wa kolomije huko hata kiswahili hujuwi utamdai nani uhuru, hao unaowasema walikuwa hawataki mkoloni aingie ila wakashindwa watu wa pwani tukamtoa kiulaiiiini kama wananawa huku ikitumika akili kubwa kuliko mabavu. hakika mjini akili bush ziwani nguvuKwani kina Chief Mkwawa, Meli, Songea walikuwa wala chapati?
Endeleeni kula chapati na pilau, huku mnakuwa displaced miji yote ya pwani.hahahaaa eti wala chapati, pwani ndio tz ndugu wewe wa kolomije huko hata kiswahili hujuwi utamdai nani uhuru, hao unaowasema walikuwa hawataki mkoloni aingie ila wakashindwa watu wa pwani tukamtoa kiulaiiiini kama wananawa huku ikitumika akili kubwa kuliko mabavu. hakika mjini akili bush ziwani nguvu
umeishiwa bbabu we kama upo mkoani juwa uko bush tu UN tulimtuma Kambarage mwana wa Butiama ili kuendana na matakwa ya wakoloni. ikumbukwe yeye sio wa kwanza kwenda tulishawatuma wengine hapo awali.Endeleeni kula chapati na pilau, huku mnakuwa displaced miji yote ya pwani.
Na usisahau nani alienda UN kudai self rule kwa kiingereza tena cha kwao.
Pascal,...........
P
Alpha,Hapana,inatubidi tujue ni nani alikuwa na jukumu la kudai uhuru wa Tanganyika.
Je,wapo waliodai uhuru sababu ya wao kuwa ni dini fulani?
Au wao walidai kama Watanganyika na leo tunawaclassify by their religion?