Historia ya ukimwi

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Habarini za mida hii wana jf. Poleni na majukumu


Nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na ukimwi kuanzia mwaka uliogundulika mpaka mwaka ulipoingia kwa wingi tanzania na afrika mashariki kwa ujumla.
Nitangulize shukran za dhat. Asante
 
Hili jukwaa halina watu nn
 
Ni dili za weupe ,wauze madawa na juala,
 
Kwa Africa nasikia uligundulika Namibia,nilisomaga primary huko miaka hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…