Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dili za weupe ,wauze madawa na juala,Habarini za mida hii wana jf. Poleni na majukumu
Nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na ukimwi kuanzia mwaka uliogundulika mpaka mwaka ulipoingia kwa wingi tanzania na afrika mashariki kwa ujumla.
Nitangulize shukran za dhat. Asante