Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itasaidia nini wakati nchi yako inaliwa na mchwa?Any body can help me nataman kujua utawala wa kidunia tangu enzi za Alexander the great from ugiriki mpaka warum walivotawala na kuendelea,naham ya kujua
Itasaidia nini wakati nchi yako inaliwa na mchwa?
Itasaidia nini wakati nchi yako inaliwa na mchwa?
Mbona hilo liko wazi kwa kila mtu?Itasaidia kujua tawala zilizokuwepo zilianguka vipi ili tujue kama hii nayo imekaribia ama la
Upo sawa chalie yangu, nilihoji ili nipate kujua..!We santo n aje,kwan hapa si jukwaa la history how many post znazungumzia historical thngs,then nadhan hujui importance of history
Poa kiranga get you and thanx