Historia ya Vatican

Historia ya Vatican

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
IJUE HISTORIA YA VATICAN

Vatikani
Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo lakilomita za mraba 0,44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia.

Dola la Mji wa Vatikani Wimbo wa taifa: Inno e Marcia Pontificale(Kiitalia)

Wimbo la PapaMji mkuuMji wa Vatikani1

41°54′ N 12°27′E Mji mkubwa nchini Mji wa VatikaniLugha rasmi Kilatini KiitaliaSerikali

Papa
Katibu wa Dola

Ufalme

Papa Fransisko

Pietro ParolinUhuru

Mkataba wa Laterani

11 Februari 1929Eneo

- Jumla

- Maji (%)

0.44 km² (ya 232)

Idadi ya watu

- 2008 kadirio

- Msongamano wa watu

791 (ya 229)

1,780/km² (ya 6)FedhaEuro (€)4 (EUR)Saa za eneo

- Kiangazi (DST)CET (UTC+1)

CEST (UTC+2)Intaneti TLD.va Kodi ya simu+395

Ramani ya Mji wa Vatikani

Idadi ya wakazi ni 791; raia ni 565 tu (mnamo Oktoba 2008).

Ni nchi ya Papa ambaye ni askofu waRoma na mkuu wa Kanisa Katolikiduniani kote.

Jina limetokana na kilima cha Vatikani(kwa Kilatini: Mons Vaticanus) ndani yajiji la Roma, upande wa magharibi wa mto Tiber.

Pamoja na Basilika la Mt. Petro, jengo lakanisa kubwa kuliko yote duniani, Vatikani ina makanisa mengine saba, jumba la Vatikani, ofisi za utawala wa Kanisa Katoliki, mabustani, stesheni yatreni, nyumba za kuishi, hosteli kwa ajili ya mafukara na makumbusho yenye hazina kubwa za sanaa kiasi kwamba nchi nzima inahesabiwa na UNESCOkuwa Urithi wa dunia (tangu mwaka 1984).

Historia

Mabaki ya Dola la Papa

Mji wa Vatikani ni mabaki ya Dola la Papa lililotawala sehemu kubwa ya Italia ya Kati kwa karne nyingi hadi 1870.

Tangu 1860 baadhi ya maeneo hayo yalitwaliwa na Ufalme mpya wa Italia uliolenga kuunganisha sehemu zote zapeninsula ya Italia.

Utawala wa Papa juu ya mji na mkoa wa Roma ulilindwa na Ufaransa hadi 1870.

Vita ya 1870 kati ya Ujerumani na Ufaransa ililazimisha Ufaransa kuondoajeshi lake Roma, ambao hivyo ulitekwa na jeshi la Italia tarehe 20 Septemba18
 
Kumbe Papa alikua mtawala?
So mwanasiasa au?
 
Jifunze storytelling mkuu
 
Acha tabia ya kukopi then unaend google translate una paste uandishi ni hobby na kazi moja ngumu sana fukua vitu kuna source nying sana soma uelewe kaa chini uanze kuandika sawa bro?! Hapa nakupa 1/10 ya kuonyeaha nia ya kuwa mwandishi ila hamna kitu umefanya hapa
 
Hongera kwa bandiko lako bt sijailewa vizuri hii stori ya vatican nadhani sababu ya mpangilio wako wa maelezo.
 
Vatican ilibariki kuchukuliwa waafrika utumwani Vatican ni baba wa ubaguzi wa rangi
 
Akina Tipu Tipu waliosomba maelfu ya Watanganyika kwenda utumwani enzi hizo walitokea Vatican?!
Natamani nikujibu ila upo n'a ujinga mwingi sana. Kwa hiyo unanipasa kukufuta ujinga ndio tuanze hii discussion.. Pia waarabu n'a dini Yao ni wafanya biashara wakubwa wa utumwa kama ilivyo Vatican
 
Kwa taarifa tu, utumwa ulikuwepo kabla ya Vatican
 
Acha tabia ya kukopi then unaend google translate una paste uandishi ni hobby na kazi moja ngumu sana fukua vitu kuna source nying sana soma uelewe kaa chini uanze kuandika sawa bro?! Hapa nakupa 1/10 ya kuonyeaha nia ya kuwa mwandishi ila hamna kitu umefanya hapa
So sad
 
Nimekuja kusoma uzi Kwa kasi,nikaishia kuwa disappointed!
 
Back
Top Bottom