Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
IJUE HISTORIA YA VATICAN
Vatikani
Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo lakilomita za mraba 0,44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia.
Dola la Mji wa Vatikani Wimbo wa taifa: Inno e Marcia Pontificale(Kiitalia)
Wimbo la PapaMji mkuuMji wa Vatikani1
41°54′ N 12°27′E Mji mkubwa nchini Mji wa VatikaniLugha rasmi Kilatini KiitaliaSerikali
Papa
Katibu wa Dola
Ufalme
Papa Fransisko
Pietro ParolinUhuru
Mkataba wa Laterani
11 Februari 1929Eneo
- Jumla
- Maji (%)
0.44 km² (ya 232)
Idadi ya watu
- 2008 kadirio
- Msongamano wa watu
791 (ya 229)
1,780/km² (ya 6)FedhaEuro (€)4 (EUR)Saa za eneo
- Kiangazi (DST)CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)Intaneti TLD.va Kodi ya simu+395
Ramani ya Mji wa Vatikani
Idadi ya wakazi ni 791; raia ni 565 tu (mnamo Oktoba 2008).
Ni nchi ya Papa ambaye ni askofu waRoma na mkuu wa Kanisa Katolikiduniani kote.
Jina limetokana na kilima cha Vatikani(kwa Kilatini: Mons Vaticanus) ndani yajiji la Roma, upande wa magharibi wa mto Tiber.
Pamoja na Basilika la Mt. Petro, jengo lakanisa kubwa kuliko yote duniani, Vatikani ina makanisa mengine saba, jumba la Vatikani, ofisi za utawala wa Kanisa Katoliki, mabustani, stesheni yatreni, nyumba za kuishi, hosteli kwa ajili ya mafukara na makumbusho yenye hazina kubwa za sanaa kiasi kwamba nchi nzima inahesabiwa na UNESCOkuwa Urithi wa dunia (tangu mwaka 1984).
Historia
Mabaki ya Dola la Papa
Mji wa Vatikani ni mabaki ya Dola la Papa lililotawala sehemu kubwa ya Italia ya Kati kwa karne nyingi hadi 1870.
Tangu 1860 baadhi ya maeneo hayo yalitwaliwa na Ufalme mpya wa Italia uliolenga kuunganisha sehemu zote zapeninsula ya Italia.
Utawala wa Papa juu ya mji na mkoa wa Roma ulilindwa na Ufaransa hadi 1870.
Vita ya 1870 kati ya Ujerumani na Ufaransa ililazimisha Ufaransa kuondoajeshi lake Roma, ambao hivyo ulitekwa na jeshi la Italia tarehe 20 Septemba18