Historia ya wamakonde

Historia ya wamakonde

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
HISTORIA FUPI YA KABILA LA WAMAKONDE

Kama ulikua hujui chanzo Cha Wamakonde kuweka NDONYA na kuchanja CHALE wacha nikufahamishe;-

Wamakonde ni kabila linalo patikana katika wilaya zote za Mkoa wa Mtwara ila Masasi na Nanyumbu wapo kwa asilimia ndogo na kwani wenyeji wa Masasi Ni Wamakua na wenyeji wao Nanyumbu ni Wayao.

Kama ulikua hujui ;-Rais Benjamin William Mkapa sio mmakonde Ni Mmakua,

Wamakonde wamejipatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania kutokana na kuwa na ukakamavu na shughuli za uchongaji wa vinyago. Tofauti kubwa kati ya Wamakonde wanaoishi Kusini mwa Mto Ruvuma (Msumbiji) na Kaskazini mwa Ruvuma (Tanzania) ni aina ya urembo wa ndonya. Wale wa Msumbiji wana ndonya ndogo juu ya midomo yao wakati wa Tanzania wana ndonya kubwa zaidi midomoni mwao.

Wamakonde huonekana kwa uzuri wao, wapo waliochanja sehemu za juu ya mdomo, masikio na uso. Inaaminika kuwa chanzo cha kuchanja, kutoboa midomo na kuweka ndonya ilikuwa kujilinda dhidi ya wafanyabiashara wa watumwa ambao walibeba watumwa kwenda kwenye mashamba huko Ulaya.

Ndonya na Chale ziliwakasirisha sana wafanyabiashara wa Kiarabu kwa kuona kuwa watu hao hawapendezi. Wamakonde wengine wa Msumbiji waliamua kuchonga meno yao, ili kujilinda, kwamba mtu ambaye angeingia katika himaya yao akiwa hajachanja, hana ndonya na hajachonga meno, walimuona ni adui yao na kama ni mweusi, ni mpelelezi wa Waarabu ili wavamie kuwachukua kwenda utumwani.

Tabia hizi zikawa ni desturi na mila zao na zikawa kama urembo ndani ya kabila la Wamakonde. Baada ya kukomeshwa kwa biashara ya watumwa, mila hizi zilianza kutoweka na wengi wameachana nazo.
Hicho unachokiona hapo Puani ndio inaitwa NDONYA Ni mti wa mpingo huchongwa na kuwekwa katika kuweka hutobolewa hadi fizi za juu yaani akicheka unauona umetokeza kwa ndani upande wa juu ya mdomo.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
 
Picha Tafadhali
 
Wilaya ya masasi inakaliwa na wamakua na wayao sio wamakua peke Yao. Halafu wilaya ya nanyumbu inakaliwa na wamakua wayao na wamatambwe
 
Habari ja nelo, habari ja lyambq?
 
Wilaya ya masasi inakaliwa na wamakua na wayao sio wamakua peke Yao. Halafu wilaya ya nanyumbu inakaliwa na wamakua wayao na wamatambwe
Wamatambwe ndiyo kabila gani?
 
Wamatambwe wanakaa along ruvuma river . Ni wavuvi Waziri sana kama walivyo wandamba wa kilombero
 
Habari yako ina ukakasi kidogo kwani wengi wanaochanja chale na kuweka ndonya ni wanawake!
Sasa sijajua kama kipindi cha biashara utumwa waliochukuliwa walikuwa wa jinsia ya kike pekee ama!!
 
HISTORIA FUPI YA KABILA LA WAMAKONDE

Kama ulikua hujui chanzo Cha Wamakonde kuweka NDONYA na kuchanja CHALE wacha nikufahamishe;-

Wamakonde ni kabila linalo patikana katika wilaya zote za Mkoa wa Mtwara ila Masasi na Nanyumbu wapo kwa asilimia ndogo na kwani wenyeji wa Masasi Ni Wamakua na wenyeji wao Nanyumbu ni Wayao.

Kama ulikua hujui ;-Rais Benjamin William Mkapa sio mmakonde Ni Mmakua,

Wamakonde wamejipatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania kutokana na kuwa na ukakamavu na shughuli za uchongaji wa vinyago. Tofauti kubwa kati ya Wamakonde wanaoishi Kusini mwa Mto Ruvuma (Msumbiji) na Kaskazini mwa Ruvuma (Tanzania) ni aina ya urembo wa ndonya. Wale wa Msumbiji wana ndonya ndogo juu ya midomo yao wakati wa Tanzania wana ndonya kubwa zaidi midomoni mwao.

Wamakonde huonekana kwa uzuri wao, wapo waliochanja sehemu za juu ya mdomo, masikio na uso. Inaaminika kuwa chanzo cha kuchanja, kutoboa midomo na kuweka ndonya ilikuwa kujilinda dhidi ya wafanyabiashara wa watumwa ambao walibeba watumwa kwenda kwenye mashamba huko Ulaya.

Ndonya na Chale ziliwakasirisha sana wafanyabiashara wa Kiarabu kwa kuona kuwa watu hao hawapendezi. Wamakonde wengine wa Msumbiji waliamua kuchonga meno yao, ili kujilinda, kwamba mtu ambaye angeingia katika himaya yao akiwa hajachanja, hana ndonya na hajachonga meno, walimuona ni adui yao na kama ni mweusi, ni mpelelezi wa Waarabu ili wavamie kuwachukua kwenda utumwani.

Tabia hizi zikawa ni desturi na mila zao na zikawa kama urembo ndani ya kabila la Wamakonde. Baada ya kukomeshwa kwa biashara ya watumwa, mila hizi zilianza kutoweka na wengi wameachana nazo.
Hicho unachokiona hapo Puani ndio inaitwa NDONYA Ni mti wa mpingo huchongwa na kuwekwa katika kuweka hutobolewa hadi fizi za juu yaani akicheka unauona umetokeza kwa ndani upande wa juu ya mdomo.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
Je hiyo inafanyika kwa Wamakonde wa jinsia zote au wanawake tu ??
Maana mimi nimekuwa nikiona kwa wanawake zaidi.
 
Asante kwa andiko zuri fupi linaloeleweka.
Lakini hujasema iwapo utaendelea au la.
Maana naona hujasema matharani:
Kuna wanakonde Malaba hawa ni wale wenye asili ya Nchumbiji.
Na wamakonde Wamawia hawa ni wale wenye asili ya Tanganyika.
Au sio ??
Na poa nilitarajia useme wanapenda kula nini na nini ? Kwa kifupi .
watoto wa kike binti wadogo wakiwa hata darasa la 2 wanachezwa ngoma na kwenda Shule wamejifunika kanga na kujificha uso.
Kwamba wanapenda sana ngono.
Hawa wanafanana na wangoni, wazaramo na Wapogoro kwa kuendekeza na kupenda ngono.

Ngoma yao ya asili inaitwa Sindimba.

N.k
 
Aisee napenda sana kuangalia ngoma ya Sindimba ikichezwa mubashara ile yenye radha ya asili yenyewe.
 
Wanawake wana unyago mzuri sana lakini pia kwa uchawi na ushirikina ni mahodari pamoja na wanawake wa kinyamwezi, kimanyema na Singidani.
Na pia sio wachoyo wa kugawa K.
Mtu yeyote anaweza kumpa wanaamini wamepewa bure na wao wana wajibu kama kuwapa wanaume bure wanamsemo wao huo baaah kumnyima mtu ni dhambi na uchoyo ni dhambi.
Wanaume wao wanawajua wanawake wao kwa hiyo tabia vizuri sana tu.
Na hata wakiamua kuishi nao wanakaa nao kimagutugutu na kuwa mguu mmoja nje mwingine ndani saa yoyote kuachana sababu hawajui kukataa Mwanaume wa status yoyote.
 
FB_IMG_17282242323052612.jpg
 
Asante kwa andiko zuri fupi linaloeleweka.
Lakini hujasema iwapo utaendelea au la.
Maana naona hujasema matharani:
Kuna wanakonde Malaba hawa ni wale wenye asili ya Nchumbiji.
Na wamakonde Wamawia hawa ni wale wenye asili ya Tanganyika.
Au sio ??
Na poa nilitarajia useme wanapenda kula nini na nini ? Kwa kifupi .
watoto wa kike binti wadogo wakiwa hata darasa la 2 wanachezwa ngoma na kwenda Shule wamejifunika kanga na kujificha uso.
Kwamba wanapenda sana ngono.
Hawa wanafanana na wangoni, wazaramo na Wapogoro kwa kuendekeza na kupenda ngono.

Ngoma yao ya asili inaitwa Sindimba.

N.k
Kwa lugha nyingine wamalaba ni wamakonde wa Pwani (Wilaya za Mtwara zinazopakana na Bahari ya Hindi)
Na wamawia ni wabara.
 
Pia nazani Wamawia wenyewe Hawachanji wala kuweka ndonya au sio ?
 
Back
Top Bottom