Historia ya wamasai kutokea Israel hadi Africa mashariki

Mindoki aaaleji ilorere Doi Huyo mzee muongo miaka hiyo yeye halikua Wapi endaphal imRengeeee
 
Kuamini hili labda tukawaulize na hao
Wamisri maana ya maneno "misri" na Cairo " kama hawajui ntaamini
Haiwezekani sehemu zoote walizokatisha wao tu ndo lugha Yao iasiri majina ya sehemu hizo.wasudani, wakikuyu, waarabu walikuwa mabubu? Au nao ni wamasai?
 
Hii story sio ya kweli kote huko wanapita kulikua hakuna wenyeji na wao kutunga majina ya eneo husika
 
kwahiyo israel kuna wamasai sio.hii nchi hiii
 
aisee!...akhsante sana kwa kutushirikisha hii elimu..respect
 
 
Huenda wamasai ni kati ya Makabila yaliyokua yanakaa nchi ya Kanaan(Israel) kabla ya Musa Kurejea.
Huenda ndio maana iliitwa nchi ya maziwa na asali.
Huenda wamasai walifukuzwa na wana wa Waisrael waliporudi kutoka Misri.
Wakaamua kukimbilia Afrika bara la kimbilio.

Nadhani Wamasai sio wana wa Israel ila huenda ni kati ya watu walioishi eneo hilo lilokua linakaa wafugaji mpaka waisrael walipowatimua na kuimiliki nchi kwa wakati fulani.
 
sie wasambaa tulitoka netherlands tukajikuta tupo lushoto
 
Binafsi sijajua kama hii history ni kweli.lakin kwa uelewa wangu wamasai wamekuwa wakuhama hama saba na majina ya maeneo mengi kwa tanzania na kenya wao waliishi siku nyingi na kupatungia majina
Uzushi mtupu.
 
Mkuu hicho kitabu nitapata wapu they ways of tribes?
Nanthani kuna haja ya kuanza kuandika historia yetu na kufundishwa kwenye mashule na sio mambo ya ukoloni.

Nenda tu Bookshop yoyote yenye stock zaidi ya text books. Kama upo Arusha au Dar, nenda A Novel Idea.
 
Asili ya wanadamu wote ni Iraq ndipo Mungu aliwatawanya watu wote pale kwenye mnara wa babeli...na ndio mwanzo wa makabila yote duniani
 
Neno Misr aili yake ni neno la Kiebrania "Meezrayem" maana yake Ni Mji ndani ya "Uzio wa Kuta Mbili"

Na Khartoum asili yake ni neno la Kiarabu خرطوم maana yake ni "Mkonga wa Tembo" sababu ya umbo lake kwa vile umefanana na mkonga wa tembo kutokana na kuwepo baina ya White Nile na Blue Nile.

Sudan ni neno la Kiarabu lenye maana ya Watu Weusi na hiyo walikusudia Sudan ya Zamani ambayo inajumuisha Juba (Sudan ya Kusini), Congo zote mpaka pwani ya Benin. Sudan ya Khartoum ikiitwa Nubia.
 
hv mmasai akikaa na muisraeli wanaelewana lugha...... dah historia nyingine hazieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…