Baada ya gharika la Noah, Nimrod mwana wa Cush mwana wa Ham, aliongoza watu (wote wa dunia kwa wakati ule) kujenga mnara wa Babel. Mnara huu ulijengwa kama njia ya kukaidi amri ya Mungu iliyowataka binadamu watawanyike wakaijaze dunia. Inahisiwa kwamba binadamu waliogopa kutawanyika. Mungu akawachanganya lugha zao na aka watawanya.
So mataifa yote yalitawanyika kutoka kwenye mnara wa Babeli. Mnara huu wa Babeli uko ndani ya Iraq ya leo.
Sehemu kubwa ya wamasai ni vitukuu vya wa Sabeans. Sabeans ni mmoja wapo ya watoto wa Cush mtoto wa Ham mtoto wa Noah. Cush ni kiebrania. Kwa kigiriki Cush inaitwa Ethiopia. Cush hii ya kibiblia ilikuwa sehemu kubwa (afrika na pia huko mashariki ya kati). Ila kwa Afrika Cush ilikua eneo ambalo leo hii linaitwa Sudan. Kuna kipindi eneo hili la Cush lilikuwa linaitwa Nubia, na pia Meroe.
Hii Ethiopia ya leo ilikua inaitwa Abbysinia (uhabeshi). Ilikua inatokana na ufalme wa zamani wa Aksum. Hawa ni machotara ya waafrika na wasemites. Aksum ilikuwa pia upande wa Yemen ya leo.
So sehemu kubwa ya wamasai ni vitukuu wa Sabeans wa zamani, ambao walikuwa mmoja wapo ya watoto wa Cush mwana wa Ham mwana wa Noah. Nahisi pia sehemu kubwa ya watutsi ni vitukuu wa Cush mwana wa Ham. Sehemu kubwa ya wahutu watakuwa ni vitukuu wa Phut mwana wa Ham mwana wa Noah.