Historia ya Wasubi na Wilaya ya Biharamulo

Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Kukataa home ni uboya

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Mbona watu kibao tu wanakana makabila yao wakija mjini? Mifano hii hapa: Mbeya (wasafwa, wanyamwanga, wamalila wote hawa wanajiita wanyakuyusa), Mara (kuna vikabila vidogo zaidi ya 20 vyote vinajiita wakurya), Kagera (wanyambo wakija mjini wanajiita wahaya), Kilimanjaro (wakahe, wagweno, wanajiita wapare) nk.
 
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, New Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja na watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app Kajubi mkajanga ni mtu maarufu kutoka kabila la wasubi ninae mfahamu.Yeye ni mwandishi wa mashairi ya kingereza kwa waliosoma Literature hili jina ni maarufu sana.
 
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, New Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja na watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Aliyekuwa Raisi wa wmawamu ya tano pia alihesabika kama mzaliwa wa wilaya ya biharamulo kabla kata ya chato iliyokuwa wilayan biharamulo haijafanya kuwa wilaya
 
Back
Top Bottom