π₯π₯Mshua wangu ni bingwa sana wa kusoma hisia za mtu kupitia macho!
Anaweza kukwambia vitu vingi kama hasira, hofu, kukata tamaa, usaliti, chuki, uwongo, mshangao, kama kuna kitu unaficha, hila n.k.
Amewahi niambia kupitia macho unaweza usoma ubongo, mwili na hisia karibu zote za binadamu. Kama kuna tukio umelipiga ukakutana na Mshua, ukaongea nae kidogo. Atajua kuna kitu kinakuzonga. Ataanza kukuuliza kuthibitisha hisia zake. Mara zote anakuwaga sahihi. π