Historia ya Wilaya ya Ngara, utamaduni wa wakazi wa Ngara na chanzo cha jina la kabila la Wahangaza

Lakini it's an abusive practice. Kwa upande wao it's stressing
Utaona no abusive lakini kwa usalama wa Nchi hakuna jinsi.
Bila hivyo utawakuta wapo kwenye sekta nyeti bila kuukana uraia wao
 
The whole thing roots katika political crises Anasazi zimekuwepo ktk hiyo mipaka. Haikuwa stable. Ndo chanzo cha prejudice. Concept ya ukimbizi imeathiri sana namna ya mitazamo.
 
Utaona no abusive lakini kwa usalama wa Nchi hakuna jinsi.
Bila hivyo utawakuta wapo kwenye sekta nyeti bila kuukana uraia wao
Hilo huwezi kuepuka. Wapo wengi ambao wana asili za Burundi na Rwanda. They are employed ktk sector tofauti. Tena mmoj Yeye wazazi wake hata kihaya hawakujua. Lakini hadi mauti yanamkumba alikuwa msajili wa Mahakama. Mwingine ni hakimu kabisa. Watanzania tulijengewa hofu dhidi ya foreigners ndo maana tupo closed minded tukilinganishwa na majirani zetu wengine. Marekani wameajiri hadi Watz kwenye jeshi. Hadi mwenye asili ya Afrika amekuwa Rais. Sisi Tanzania tuna unyeti gani wa kulinda dhidi ya majirani?
 
Katiba tu mpya iandikwe tu ili ku monitor VIONGOZI WAKUBWA bila kujali asili yao!!

Michael sata hayati Rais wa zambia ALIKUWA na asili ya Mbeya tena mnyakyusa,nina Jamaa yangu hapa kazini anasema baba yake alifanya nae kazi ya udereva wa malori kutokea mbeya kwenda zambia halafu akaja shangaa eti ni Rais wa Zambia!!

Katiba tu iandikwe VIZURI Ili Rais asiharibu bila kujali asili yake!!
 
Mnyambo ni mnyankole toka uganda mnyambo sio mhaya,jmakabila haya kanda ya ziwa wanasikilizana;wanyambo,wanyankole,wasubi,wasubwa,wazinza ,warongo
Hao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?
 
Unaposema mwanamke ni mtu mzima, inaonekana hukunielewa, namaanisha watoto, mtoto ana miaka sita mpaka kumi unamtenga tenga halafu unamlinganisha na wanawake!!! We jamaa vipi, yamkini hujawahi kua na watoto wa umri huo ukiwa nao nyumbani kwako uone kama ni sahihi kwako kuwaweka wa mwisho kwenye chakula. Mi watoto wangu wawe wa mwisho kula eti kisa mgeni????? Shenzi, labda undugu au urafiki ufe... Mtoto mtukutu ni malezi ya kwako na bado atabaki kua mtoto wako, na haiingiliani na swala la chakula eti umuweke pembeni wale wageni kwanza.
 
Hao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?
Mnyanko
Hao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?
Bahima au banyankole,bahororo,banyamulenge na batutsi walitoka ethiopia au somalia karne ya 14 au 15 ,ukiwaangalia ni nilo hamit ila wanazungumza bantu language.
 
Umeongea pumba ndugu yangu hivi hujui hii mipaka iliwekwa na wakoloni?? Vipi kuhusu wamasai, wajaluo,wanyasa, na makabila yote ya mipakani?? Rwanda, Burundi na Tanganyika kumbuka zilikua nchi moja enzi ya mjerumani.
Hivi waTZ wanafananaje? Mbona mimi naona sura za waTZ hazina tofauti kubwa na waKE, waUG, waNigeria, n.k.?
 
Mnyanko
Bahima au banyankole,bahororo,banyamulenge na batutsi walitoka ethiopia au somalia karne ya 14 au 15 ,ukiwaangalia ni nilo hamit ila wanazungumza bantu language.
Watusi ni Wanyarwanda/Warundi wenye asili ya Ethiopia/Somalia. Wahutu ni ni Wanyarwanda/Warundi wenye asili ya Wabantu. Waha nao wana wahutu na watusi, lakini huku TZ hiyo haitumiki saana. Huko Kahama nako kuna Watusi na Wahutu, pia huko majina hayo hayatumiki Watusi au Wahutu si kabila, bali muonekano wa kimaumbile (physical appearance tokana na huko walikotpokea. Watusi wana shingo ndefu na wanafanana kiasi na Waethiopia/ Wasomali.
 
Tupieni picha mbali mbali tujifunze wengine tunatoka SAME huku upareni tunafurahia kuona mazingira ya nchi yetu na kujua historian ya jamii zetu.Tanzania kubwa kanda nyingine ukiwaambia Kabila LA Washubi hawalijui hata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…