Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaona no abusive lakini kwa usalama wa Nchi hakuna jinsi.Lakini it's an abusive practice. Kwa upande wao it's stressing
The whole thing roots katika political crises Anasazi zimekuwepo ktk hiyo mipaka. Haikuwa stable. Ndo chanzo cha prejudice. Concept ya ukimbizi imeathiri sana namna ya mitazamo.Halafu wahanga wa ubaguzi huo ni watu wa Ngara, karagwe, kasulu, kibondo, buhigwe, lakini mipaka ya namanga, tunduma, kasumulo, tangazo, matambaswala, watu wanatamba tena wanawekeza kabisa lakini mtu akiwa muha, muhangaza, msubi, cha moto atakiona, nadhani ifikie hatua mindset zibadilike naungana na One Africa Movement ya Julius Malema kwa sababu zamani zilikuepo koo na tawala za maeneo haikuepo mipaka, waafrika huteswa na mipaka ya wakoloni, lakini ukienda nchi nyingi za afrika mila, desturi na tamaduni zao zinafanana kabisa kwa asilimia kubwa
Hilo huwezi kuepuka. Wapo wengi ambao wana asili za Burundi na Rwanda. They are employed ktk sector tofauti. Tena mmoj Yeye wazazi wake hata kihaya hawakujua. Lakini hadi mauti yanamkumba alikuwa msajili wa Mahakama. Mwingine ni hakimu kabisa. Watanzania tulijengewa hofu dhidi ya foreigners ndo maana tupo closed minded tukilinganishwa na majirani zetu wengine. Marekani wameajiri hadi Watz kwenye jeshi. Hadi mwenye asili ya Afrika amekuwa Rais. Sisi Tanzania tuna unyeti gani wa kulinda dhidi ya majirani?Utaona no abusive lakini kwa usalama wa Nchi hakuna jinsi.
Bila hivyo utawakuta wapo kwenye sekta nyeti bila kuukana uraia wao
Katiba tu mpya iandikwe tu ili ku monitor VIONGOZI WAKUBWA bila kujali asili yao!!Hilo huwezi kuepuka. Wapo wengi ambao wana asili za Burundi na Rwanda. They are employed ktk sector tofauti. Tena mmoj Yeye wazazi wake hata kihaya hawakujua. Lakini hadi mauti yanamkumba alikuwa msajili wa Mahakama. Mwingine ni hakimu kabisa. Watanzania tulijengewa hofu dhidi ya foreigners ndo maana tupo closed minded tukilinganishwa na majirani zetu wengine. Marekani wameajiri hadi Watz kwenye jeshi. Hadi mwenye asili ya Afrika amekuwa Rais. Sisi Tanzania tuna unyeti gani wa kulinda dhidi ya majirani?
Hao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?Mnyambo ni mnyankole toka uganda mnyambo sio mhaya,jmakabila haya kanda ya ziwa wanasikilizana;wanyambo,wanyankole,wasubi,wasubwa,wazinza ,warongo
Unaposema mwanamke ni mtu mzima, inaonekana hukunielewa, namaanisha watoto, mtoto ana miaka sita mpaka kumi unamtenga tenga halafu unamlinganisha na wanawake!!! We jamaa vipi, yamkini hujawahi kua na watoto wa umri huo ukiwa nao nyumbani kwako uone kama ni sahihi kwako kuwaweka wa mwisho kwenye chakula. Mi watoto wangu wawe wa mwisho kula eti kisa mgeni????? Shenzi, labda undugu au urafiki ufe... Mtoto mtukutu ni malezi ya kwako na bado atabaki kua mtoto wako, na haiingiliani na swala la chakula eti umuweke pembeni wale wageni kwanza.Ilikuwa kutia adabu watoto wakorofi kama wewe ulivyokuwa, lakini to be serious haikuwa kwenye makabila tuu, hata dini ukiangalia vizuri nazo zilikuwa na vitu vya kuwaonea wanawake na kuwafanya wako chini, mfano wakatoliki mwanamke hawezi kuwa Padri au askofu, waislam mwanamke sijui hata kama anaweza kuwa kiongozi kama maimamu au masheikh au mufti, mifano ipo mingi, ndio maana naamini haya mambo ya dini ni creation ya mwanadamu tuu
MnyankoHao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?
Bahima au banyankole,bahororo,banyamulenge na batutsi walitoka ethiopia au somalia karne ya 14 au 15 ,ukiwaangalia ni nilo hamit ila wanazungumza bantu language.Hao wanyambo ambao Wana asili ya wanyankole wa uganda!hao wanyankole wanauhusiano gani na watutsi wa Rwanda au Burundi!?
Hivi waTZ wanafananaje? Mbona mimi naona sura za waTZ hazina tofauti kubwa na waKE, waUG, waNigeria, n.k.?Umeongea pumba ndugu yangu hivi hujui hii mipaka iliwekwa na wakoloni?? Vipi kuhusu wamasai, wajaluo,wanyasa, na makabila yote ya mipakani?? Rwanda, Burundi na Tanganyika kumbuka zilikua nchi moja enzi ya mjerumani.
Watusi ni Wanyarwanda/Warundi wenye asili ya Ethiopia/Somalia. Wahutu ni ni Wanyarwanda/Warundi wenye asili ya Wabantu. Waha nao wana wahutu na watusi, lakini huku TZ hiyo haitumiki saana. Huko Kahama nako kuna Watusi na Wahutu, pia huko majina hayo hayatumiki Watusi au Wahutu si kabila, bali muonekano wa kimaumbile (physical appearance tokana na huko walikotpokea. Watusi wana shingo ndefu na wanafanana kiasi na Waethiopia/ Wasomali.Mnyanko
Bahima au banyankole,bahororo,banyamulenge na batutsi walitoka ethiopia au somalia karne ya 14 au 15 ,ukiwaangalia ni nilo hamit ila wanazungumza bantu language.
Tupieni picha mbali mbali tujifunze wengine tunatoka SAME huku upareni tunafurahia kuona mazingira ya nchi yetu na kujua historian ya jamii zetu.Tanzania kubwa kanda nyingine ukiwaambia Kabila LA Washubi hawalijui hata!MTAA KWA MTAA:-MV RUVUBU …Ukivuka tu umeingia Mpakani mwa Tanzania na Rwanda eneo la Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera.
![]()
Ni muonekano wa maji ya Mto Ruvubu ndani ya Kivuko cha MV RUVUBU napenda sana kukitumia kuvuka kama naenda mpaka wa Rusumo kutalii au kufatilia mambo mbalimbali yaliyopo,yapo na yajayo hasa ukizingatia ni Mpakani mwa Tanzania na Rwanda.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kivuko hiki cha MV RUVUBU huwa hakina sana watu wengi wanaokitumia kuvuka pengine sababu ya wengi wetu hupenda kupitia Benaco hadi Rusumo lakini ukipitia barabara ya Ngara-Murukulazo ni kwepesi sana kufika kwa Haraka Rusumo.
![]()
![]()