St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Mkuu nashukuru sana kupata picha ya huyu jamaa maana nimemsikia siku nyingi lakini sikupata maelezo ya kutosha juu yake.Naomba kama kuna anayemjua atuhabarishe alizaliwa wapi alikuwa na kazi gani,elimu yake,n.k.
Mkuu nashukuru sana kupata picha ya huyu jamaa maana nimemsikia siku nyingi lakini sikupata maelezo ya kutosha juu yake.Naomba kama kuna anayemjua atuhabarishe alizaliwa wapi alikuwa na kazi gani,elimu yake,n.k.
Hakutunga wimbo wa taifa. Aliandika Wimbo maarufu unaitwa Inkhosi si'kelele i'Afrika. Baadaye SAMUEL EDWARD KRUNE MQHAYI aliuendeleza. Toka hapo nchi zilimega na uondoa maneno fulani na kufanya nyimbo za Taifa.
Nimetafuta huo wimbo wa kizulu na Xhosa na Kiingereza (Full sio maneno machache ya nyimbo za taifa) sijaupata.
Nikiuona nitaupost
Enoch Sontonga alitunga verse chache. Samuel Mqhayi akaongezea verse nyingine nyingi tu. Nchi mbalimbali zikatohoa toka katika latest version, wakiacha baadhi ya maneno na may be kuongeza!sasa ni nani mtunzi wa wimbo huo wa taifa la tanzania
Enoch Sontonga alitunga verse chache. Samuel Mqhayi akaongezea verse nyingine nyingi tu. Nchi mbalimbali zikatohoa toka katika latest version, wakiacha baadhi ya maneno na may be kuongeza!
Enoch na Samuel ni Waafrika ya Kusiniohh sasa huyu Enoch Sontonga ni raia wa nchi gani..?
Enoch na Samuel ni Waafrika ya Kusini
sasa ni nani mtunzi wa wimbo huo wa taifa la tanzania
kwani bado yuko hai?
Hewaaa! Hapo umeongea.hapo bado sijapata hilo somo vizuri,........Huyo jamaa aliyunga wimbo kwa minajili yake watu wakazipenda wakaunda nyimbo za taifa kutoka huo wimbo,.!SASA ,kwa kiswahili kipya{kikagame}aliyeCHAKACHUA hayo maneno na kutokea wimbo wa taifa la Tanzania ndiye ninayependa kumfahamu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mwenye DATA ANISAIDIE/ATUSAIDIE:nono::nono:
Enoch Mankayi Sontonga (1873 - 1905)