Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
New video by Merchant Mtandika Utampata sliyeutafsiri huo wimbo hapa Tanzania. Fungua hiyo link ili tumalize ubishi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli..wimbo wa Taifa asa zile beti za Tanzania ulitokana na wimbo wa Bukoba Buhaya Union ..waliotaka kua na Taifa lao rasmi.Wimbo wetu wa taifa tuliuchukua kutoka afrika ya kusini. Wimbo huo ulikuwa ukijulikana kama Nkosi Sikelel'i Afrika.
Wimbo huo ulikuwa umetungwa na enoch sontongo mnamo mwaka 1897.ulianza kutumika kama wimbo wa kanisani.
Kwa hisia zake zenye kuchoma mioyo ya watu ulipenya hadi mashuleni ambako ulijipatia umaarufu mkubwa kwenye shule za watu weusi.
Haukuishia hapo uliingia pia mitaani ambako uligusa mti wa kila aliyekuwa na rangi nyeusi ya ngozi ya mwili wake.
Baadae wimbo huu ulianza kutumika wakati wa kufunga vikao vya chama cha ANC.
Tanzania ,Tanzania ulitungwa na babake Nape Brigedia Mosses Nnauye.Na Tanzania Nakupenda si wimbo wa Taifa, lakini ni moja kati ya nyimbo zinazoheshimika sana nchini, kuufuatia wimbo wa Taifa. Nakumbuka pale uwanja wa Taifa wakati wa Maombolezo ya kitaifa ya Mwalimu wimbo huu uliwaliza asilimia kubwa ya viongozi pale jukwaani..Kuna wakati nilipata tetesi kuwa ulitungwa na aliyekuwa Mwanasanaa Mahsusi hapa nchini, Marehemu Kanali Moses Nnauye!