Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Me nilijuaga Nyerere ndo aliyetungaXhosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nilijuaga Nyerere ndo aliyetungaXhosa
he!! umewahiNice
Nyerere wala siye aliyebuni jina la TanzaniaMe nilijuaga Nyerere ndo aliyetunga
ni aibu kwa kweli haya mambo ya kucopy nyimbo na kutumia vya watu kumbe tulianza nayo toka enzi😱😱😱 Hata WIMBO WA TAIFA Kumbe tumetungiwa???
Huyu Anaitwa Enoch Mankayi Sontonga,ndiye mtunzi wa tuni ya wimbo wa Taifa la Tanzania (pia Afrika Kusini na Zambia).
Alizaliwa mwaka 1873 eneo la Uitenhage, katika koloni la Cape nchini Afrika Kusini.
Alifariki Aprili 18, 1905 Jijini Johannesburg, akiwa na umri wa miaka 32..
SASA KWA WALE WALIO KUWA WANA SEMA KUWA NYIMBO YETU IMEFANANA NA YA SOUTH AFRICA JIBU MME PATA.
![]()
katunga nyingi mkuuMODS, BADILISHENI ISOMEKE WIMBO WA TAIFA NA SIO NYIMBO YA TAIFA
Duh inaudhi kidogo maana hata wimbo asilia wa Taifa hatuna!!!!!!!!!!!!!!!!😱😱😱 Hata WIMBO WA TAIFA Kumbe tumetungiwa???
Je na Bendera walitubunia na kama ni hapana ni nani alibuni bendera ya Taifa????Duh inaudhi kidogo maana hata wimbo asilia wa Taifa hatuna!!!!!!!!!!!!!!!!