Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Tuache kuharibu kiswahili.

Nyimbo ni wingi na Wimbo ndiyo umoja wenyewe
 
Sasa alitungaje huo wimbo wa taifa wakati 1905 ndo mjerumani anajenga reli ya kati
 
Huyu Anaitwa Enoch Mankayi Sontonga,ndiye mtunzi wa tuni ya wimbo wa Taifa la Tanzania (pia Afrika Kusini na Zambia).

Alizaliwa mwaka 1873 eneo la Uitenhage, katika koloni la Cape nchini Afrika Kusini.

Alifariki Aprili 18, 1905 Jijini Johannesburg, akiwa na umri wa miaka 32..

SASA KWA WALE WALIO KUWA WANA SEMA KUWA NYIMBO YETU IMEFANANA NA YA SOUTH AFRICA JIBU MME PATA.

37404811_2236582783025016_3023923131212365824_n.jpg



Penicillin:

upload_2018-7-20_15-31-0-jpeg.814010


Penicillin was discovered accidently by a famous biologist Sir Alexander Fleming. The biologist was particularly famous for being absent-minded on most occasions as he paid great attention to small ‘changes’ taking place around him. It was the habit of close observation that helped this absent minded biologist to discover the principle that one set of micro-organisms could kill or restrict the growth of other microorganisms. Over the next several decades, the newly discovered drug, known as penicillin, saved millions of lives.
 

Attachments

  • upload_2018-7-20_15-31-0.jpeg
    upload_2018-7-20_15-31-0.jpeg
    5.6 KB · Views: 332
Kipindi cha kina Kinjekitile ndio twapata wimbo.... Au maneno Tanzania yameongezwa juzi
 
Back
Top Bottom