Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Nasikia ili ndoto ya kuwa na Afrika kama muungano wa majimbo. Hivyo walikubaliana kuwa na wimbo mmoja hivyo wale wenye msimamo Kama nyerere waliendeleza dhana hiyo, japo walishindwa kuunganisha Afrika kwa uchu wa madaraka.
 
Wimbo tunao wa tanganyika ila ulitakiwa kubadilishwa lakin julias k nyerere ndie aliamua kuubadilisha kwa makusudi kwa sababa zake mwenyewe fatilia mtunzi wa nyimbo hiyo alikua ni mtu gani? Alafu utajua
 
Tanzania ina 'share' wimbo wa taifa na nchi ya Afrika Kusini na Zimbabwe, uliotungwa na Enock Sontonga
sontongo.jpg
 
huyu jamaa alikuwa mwalm huko S/Africa mwanzoni mwa 1900. lengo lake alikuwa anatunga wimbo wa shule.
miaka mingi baadae sisi na wengine tukauchukua na kuubadili kwa kiswahili na kuwa wimbo wa taifa.
 
kutumia wimbo wa marehemu bila malipo ni kujitafutia mikosi tu , tuachane na huu wimbo wasanii wa nchi hii waliojazana kila kona washindanishwe kutunga wimbo wa nchi yao , tuchague utakaoshinda .
 
Wimbo tunao wa tanganyika ila ulitakiwa kubadilishwa lakin julias k nyerere ndie aliamua kuubadilisha kwa makusudi kwa sababa zake mwenyewe fatilia mtunzi wa nyimbo hiyo alikua ni mtu gani? Alafu utajua
Wimbo wa Tanganyika ni upi mkuu
 
Naomba kama kuna mdau anayefahamu sababu ya Tanzania kuamua kutumia vionjo vya Nkosi Sikeleli' iAfrika kutoka South Africa.
 
Na Tanzania Nakupenda si wimbo wa Taifa, lakini ni moja kati ya nyimbo zinazoheshimika sana nchini, kuufuatia wimbo wa Taifa. ..Nakumbuka pale uwanja wa Taifa wakati wa Maombolezo ya kitaifa ya Mwalimu wimbo huu uliwaliza asilimia kubwa ya viongozi pale jukwaani..Kuna wakati nilipata tetesi kuwa ulitungwa na aliyekuwa Mwanasanaa Mahsusi hapa nchini, Marehemu Kanali Moses Nnauye!
Niliwahikuambiwa Moses Nnauye alikuwa na kipaji cha mziki ndio maana pia mwanae Nape Nnauye pia ni mpigaji mzuri wa vyombo
 
Kwa kweli hamna wa kuwa mahali hapa ukajutia make napata vitu vitamu sana!! Ahsante sana kwa wachangiaji make mnatufanye wengne sisi watoto wa multipartism ya 1992 kupata cha kujivunia kwa uwepo wa watangulizi wetu kiumri!!
 
Wimbo tunao wa tanganyika ila ulitakiwa kubadilishwa lakin julias k nyerere ndie aliamua kuubadilisha kwa makusudi kwa sababa zake mwenyewe fatilia mtunzi wa nyimbo hiyo alikua ni mtu gani? Alafu utajua
Huo wimbo wa Tanganyika ndio upi??
 
Huyu Anaitwa Enoch Mankayi Sontonga,ndiye mtunzi wa tuni ya wimbo wa Taifa la Tanzania (pia Afrika Kusini na Zambia).

Alizaliwa mwaka 1873 eneo la Uitenhage, katika koloni la Cape nchini Afrika Kusini.

Alifariki Aprili 18, 1905 Jijini Johannesburg, akiwa na umri wa miaka 32..

SASA KWA WALE WALIO KUWA WANA SEMA KUWA NYIMBO YETU IMEFANANA NA YA SOUTH AFRICA JIBU MME PATA.
 
Back
Top Bottom