Kwani wimbo wa taifa umetungwa mwaka gani jamani?
sijasom history mie,lakini kama kafariki 1905 inamaana wimbo wa taifa umepatikana miaka ya 1800?
Huu ndio orijino aloutunga huyu bwana:
Nkosi sikelel' iAfrika
Maluphakanyisw' uphondo lwayo,
Yizwa imithandazo yethu,
Nkosi sikelela, thina lusapho lwayo.
Sisi tukauchakachua kuwa hivi:
1. Mungu Ibariki Afrika, (God Bless Africa)
Wabariki Viongozi Wake, (bless her leaders)
Hekima, Umoja na Amani (wisdom, unity and peace)
Hizi ni Ngao Zetu,(these are our shields)
Afrika na Watu Wake. (Africa and her people)
Ibariki, Afrika, (Bless,Africa)
Ibariki, Afrika, (Bless,Africa)
Tubariki, Watoto wa Afrika,(Bless, Children of Africa)
2. Mungu Ibariki Tanzania, (God Bless Tanzania)
Dumisha Uhuru na Umoja,(sustain independence and unity)
Wake kwa Waume na Watoto,(Women, Men and Children)
Mungu, Ibariki, (God, Bless,)
Tanzania na Watu Wake (Tanzania and her people)
Ibariki, Tanzania, (Bless,Tanzania)
Ibariki, Tanzania, (Bless,Tanzania)
Tubariki, Watoto wa Tanzania (Bless, Children of Tanzania)