tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Mipaka ya nchi ya Israel nchi ya ahadi/canaan ya Abraham aliyopewa na Mungu ipo, soma hapo katika Biblia Kumbukumbu la Tourati/Sheria sura ya 34.
Bwana Mungu mwenyewe ana muelekeza na kumuonesha Musa wakiwa nchi ya Moabu muda mfupi kabla ya Musa kufa.
Na baada ya Musa kufa Bwana Mungu mwenyewe akamzika Musa na mpaka leo mahali halisi palipo kuwa na kaburi la Musa wanadamu hawapajui.
Na jaribu kuwaza kama hapo Yerusalem pahala ambapo lilikuwepo hekalu la mfalme Suleimani/Solomon panagombewa na wafuasi wa Imani tatu za kidini vipi kama pahala pa kaburi la Musa pangalijulikana?

kwa sababu ingekua rahisi saana kuwashusha hata ndugu zao ambao wapo ethiopia ambao ni watoto wa seleman na queen of sheba, hivyo basi kama wangeletwa uganda wangeungana na ndugu zao kutoka ethiopia na kuanzisha taifa lao, ila theodore ambae ndie mossad alieteuliwa kutunza na kubeba kumbukumbu na ramani ya nchi yao ya ahadi aliwatonya wenzao kua tokea kipindi cha joshua kizazi na kizazi kimekua kinaitunza ile ramanai ya nchi yao ya ahadi ambayo ni canaan ambayo baba yao yakobo aka israel alipewa na mungu wao na kuahidiwa kua wataishi huko.......
there fore walichomoa kwenda uganda.......