Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ikiwa maendeleo ya teknolojia ya utunzaji wa kumbukumbu yanafanya haya tunayoishi leo kuendelea kuwepo katika kumbukumbu za dunia miaka yote dunia itakayokuwepo,
Unafikiri maswali gani makubwa yataulizwa na kizazi chetu cha Tanzania kuanzia mwaka 2100?
Unafikiri maswali gani makubwa yataulizwa na kizazi chetu cha Tanzania kuanzia mwaka 2100?