Historia yetu kuanzia mwaka 2100 itatafsiriwaje?

Historia yetu kuanzia mwaka 2100 itatafsiriwaje?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ikiwa maendeleo ya teknolojia ya utunzaji wa kumbukumbu yanafanya haya tunayoishi leo kuendelea kuwepo katika kumbukumbu za dunia miaka yote dunia itakayokuwepo,

Unafikiri maswali gani makubwa yataulizwa na kizazi chetu cha Tanzania kuanzia mwaka 2100?
 
Kwa nini tulikuwa maskini kwa muda mrefu sana tukiwa na rasilimali zote muhimu.
 
Nina imani mpaka 2100 hatutakuwa tumetawaliwa tena na MAMA maana aliyepo amezivuruga imani za watu kuhusu mwanamke.
 
Back
Top Bottom