Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu mbali mbali vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala toka chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na ukoloni wa ndani.
Hivi vifuatavyo ndivyo vipindi maarufu zaidi vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala vilivyo tokea na vinavyo tokea Afrika mpaka sasa:-
1. Harakati za kupigania uhuru kutoka mataifa ya nje kuanzia mwisho wa miaka ya 1950s
2. Kipindi cha vita baridi
3. Arab springs
4. Kipindi cha sasa miaka ya 2020 kuendelea, hiki kipindi kinaweza kuendelea kuangusha tawala nyingi sana
Hivi vipindi vilipita na tawala kadhaa kuangushwa maarufu zaidi kwa wengi ni tawala ya Muammar Gaddafi