sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
View: https://www.instagram.com/reel/DK2yiqMNG2v/?igsh=aTdsZGNiMHc5bThn
Ni kama ndoto ambayo imegeuka kuwa kweli.
Msanii wa bongofleva kujaza ukumbi mkubwa kwenye jiji la London.
Diamond ameweka historia ambayo itasimama vizazi na vizazi.
Tunamdai nini tena Diamond?
Heshima anayotupa pande zote za duniani ni unmatched.
Dream come true.
Diamond nakuita mara buku.
Hakuna kama wewe.
Dunia imekuwa shahidi wa kile tunachokisimulia kila leo kuhusu wewe.
Am so happy for bongofleva.
Mungu ibariki WCB Mungu ibariki Tanzania 🙏🏽