History In Photos

Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aisee
Damu ilimwagika haswa. Into the Jaws of Death[emoji88][emoji88][emoji88]

Nadhani, hii part ndio ipo kwenye SAVING PRIVATE RYAN (Movie)
Ile ya SAVING PRIVATE RYAN ilikuwa ni Omaha Beach wale wapuuzi wa kijerumani wana pull trigger kama hawana akili kabisa battle ni kuisikia tu huwa sina hamu.
 
Bashiru kiande dogo wakwanza kuendesha phonex matobo ilikua 1903
Inasemekana iyo baiskeli ilikua na thamani kubwa kama Prado kwa kipindi iki alijipatia umaarufu na kupata warembo kadhaa pale kijijini ila kipigo alichopigwa na baba yake ilimpelekea kupoteza jino la sebuleni
Akabadilishiwa jina na kuanza kuitwa Pengo[emoji16]
 
Hahahaaahhah
 
Kuna misemo imetokana na majina ya watu Kama vile.

1)Kiande
2)kanyaboya
3)kiombo
 
Ha ha ha nimecheka asubuhi hii mpaka vyumba vingine wakadhani nimekunywa pombe kisiri siri.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…