little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Ile ya SAVING PRIVATE RYAN ilikuwa ni Omaha Beach wale wapuuzi wa kijerumani wana pull trigger kama hawana akili kabisa battle ni kuisikia tu huwa sina hamu.Hapa palipigwa mbungi isiyo ya kawaida aisee
Damu ilimwagika haswa. Into the Jaws of Death[emoji88][emoji88][emoji88]
Nadhani, hii part ndio ipo kwenye SAVING PRIVATE RYAN (Movie)