History question A-LEVEL

History question A-LEVEL

Ni kweli vtbu vya nyambari ndo vna elezea kuhusu kuendelea kwa eurpen klko afrca ila kuna vtbu vingi sna vinavyo elezea kuhusu hyo maada aliyetka tuchangie
 
Dogo nyambari kanisababisha nikapata division one saaafi so acha unyangema

mie o level nilimezaga history book yake yote na kile kitabu cha maswali na majibu.Katusaidia wengi nkatoka na wani moja kali sana.
 
1.The natural law,that slaves were born to be slaves and feudalists to be feudalists
 
Yaani uandishi wako unatia shaka kwamba kweli wewe ni mwanafunzi wa A-Level. Nimepita tu lakini musimaindi ila kazeni musuli

Dogo acha uvivu,nenda kasome vitabu na ukafanye majadiliano na wenzako huko shuleni.Kama swali hilo shule nzima na walimu wako wameshindwa kukusaidia unadhani sisi ndiyo tuna muda wa kufanya maswali yako tu? Halafu acha dharau dogo,kwani Nyambari alichokiandika mle kakitoa wapi? Kasome encyclopedia ya history kama humtaki nyambari au lete hapa mapendekezo yako unayotaka tusome ili tukusaidie au kama unavijua vitabu vya kusoma umeleta hapa swali hilo la nini?
 
Habari yako mkuu, vipi kila kitu salama?
 
hahahahaha,kama kuna kaukweli ndani yake!
 
We have a long way to go, my dear country......elimu isiyomsaidia mwanafunzi ni mzigo na kikwazo cha maendeleo.. Kwahiyo hata google nayo umeshindwa, hadi wanajf wakurahisishie, kuwa mbunifu wa kutafuta reference sio kutegemea watu wakujibu. UTASUBIRI SANA!
 
HGE boy ila kwa uvivu na dharau za mtoa mada..........naomba nipite mie
 
history nikuwa naipenda bt yenyewe haikuthamin upendo wangu na chuo ingetokea nasoma history mamamaaaaaa nge disko mbona
 
kwa heshima na taadhima ningependa tuwe tunaulizana maswali na kupeana changamoto sisi vijana wa a-level ningependa kuaanza na ili swahili linatoka history one ktk topic ya level of development btn africa and europe in 15th century...

swahili:
why european feudalism didnot encourage productive forces?

NB:HOJA TOKA KTK VITABU VYA NYAMBARI NYANGWINE VISIHUSIKE.

Mbona kama unaonyesha dharau? Huyo huyo nyangwine ndo katumiwa na mwalimu wako anaekufundisha...!
 
Nzunga unasema kwamba dogo angetafuta hiyo solution kwenye GOOGLE SEARCH,hivi aliijua vipi jamii forum bila google,ukiona hadi ameleta huku hilo swali ujue alishafanya attempt za kutafuta AMEKOSA au HAKUELEWA.So kama una msaada we ungesaidia tu na si kuanza KUONGEA hizo kauli ulizoziongea.HII NI JAMII FORUM bhana kama hujui ww PITA tu.By the way me n PCB na kama ningekua nasoma HISTORY ningekusaidia dogo.Endelea kutafuta Solution utapata tu na achana na maneno ya hawa wanaorudisha NYUMA MAENDELEO kwa kuku DESCOURAGE.
 
father of history na ww UMEFELI na kama unahisi huna muda wa kufanya hilo swali MBONA umepata muda wa kuandika hiyo Comment ameshasema yy anatoa CHANGAMOTO that is why amesema hivo vitabu vya nyambari visihusike.JARIBU kuwa muelewa FATHER OF HISTORY
 
kama up dar mdau tafuta vitin vya mkumba anapatikana msimbazi kanitowa xana kwenye history

Oya mim nipo dar! Kama vp ni pm bro tuchonge fresh. Plz fanya hivyo Au nitumie number yake
 
Back
Top Bottom