Dogo nyambari kanisababisha nikapata division one saaafi so acha unyangema
Yaani uandishi wako unatia shaka kwamba kweli wewe ni mwanafunzi wa A-Level. Nimepita tu lakini musimaindi ila kazeni musuli
Dogo acha uvivu,nenda kasome vitabu na ukafanye majadiliano na wenzako huko shuleni.Kama swali hilo shule nzima na walimu wako wameshindwa kukusaidia unadhani sisi ndiyo tuna muda wa kufanya maswali yako tu? Halafu acha dharau dogo,kwani Nyambari alichokiandika mle kakitoa wapi? Kasome encyclopedia ya history kama humtaki nyambari au lete hapa mapendekezo yako unayotaka tusome ili tukusaidie au kama unavijua vitabu vya kusoma umeleta hapa swali hilo la nini?

kwa heshima na taadhima ningependa tuwe tunaulizana maswali na kupeana changamoto sisi vijana wa a-level ningependa kuaanza na ili swahili linatoka history one ktk topic ya level of development btn africa and europe in 15th century...
swahili:
why european feudalism didnot encourage productive forces?
NB:HOJA TOKA KTK VITABU VYA NYAMBARI NYANGWINE VISIHUSIKE.
kama up dar mdau tafuta vitin vya mkumba anapatikana msimbazi kanitowa xana kwenye history