Hitachukua miaka 100 kumpata mchezaji hatari kama huyu Tanzania

Hitachukua miaka 100 kumpata mchezaji hatari kama huyu Tanzania

Kitu cha kusikitisha kabisa na nakishuhudia mara kwa mara kwa macho yangu, Edibily Lunyamila tupo nae sana maeneo ya Mbezi kwa yusufu amechoka na hana uwezo wowote kifedha. Maisha yake yamekuwa ya kuungaunga kwa wadau. Amekuwa mlevi sana mtu wa kuombaomba bia kwenye mabaa. Kama ilivyo desturi ya wachezaji wa zamani kiukweli maisha ya Lunyamila yanasikitisha sana.
We jamaa ni muongo na mzushi. Ni kweli hana kipato kikubwa lakini kuhusu ulevi na kuombaomba bia kwenye mabaa umemzushia pakubwa.
Edibily ni mtu mtulivu sana kitabia na yuko na wenzake kina Kaniki, Jembe ulaya, Kasonso n.k kwenye klabu moja ya veterani hapo Mbezi.
 
Back
Top Bottom